Tanzania Daima: Kigogo mwingine afa Hazina

ORODHA YA WATAKAO UWAWA
Huyu anakua kigogo Kama si watatu Ni wanne kwa mwaka huu, Alianza Dada Carol Musika alikua Mkurugenzi Msaidizi, ofisi ya Msajili kifo chake Ni utata mtupu mwezi Machi! Kisha Lwajabe na Sasa msuya, hao Ni wale wanafahamika! Musika alikua na miezi 8 tu akitokea Nida kabla ya hapo alikua TBC Kama Naibu Mkurugenzi..system inaua Sana hii..
 
Sasa unasha ngaa kifo, Makaburi huyaon, au vigogo hazina hawafi? Jamani bando zenu mzitendee haki.
Me nashangaa watu sjui wanataka ss walalahoi ndo tufe tuu.
Kufa kupo tuu hata kama uwe na hirizi ya namna gan n lazima utakufa tu.
 
Huyu anakua kigogo Kama si watatu Ni wanne kwa mwaka huu, Alianza Dada Carol Musika alikua Mkurugenzi Msaidizi, ofisi ya Msajili kifo chake Ni utata mtupu mwezi Machi! Kisha Lwajabe na Sasa msuya, hao Ni wale wanafahamika! Musika alikua na miezi 8 tu akitokea Nida kabla ya hapo alikua TBC Kama Naibu Mkurugenzi..system inaua Sana hii..
SALAMU KUTOKA KUZIMU
"Atakufa. Lazima afe. Na atakufa kifo cha kisayansi kabisa. Mpango huu tumeuandaa kwa uangalifu mkubwa, Na watekelezaji wake pia ni watu ambao wamehitimu vizuri katika nyanja zote zinazohusika na kazi hii, Tuondoe shaka kabisa. Mpango huu utafanikiwa kwa asilimia mia".
 
Pengine kwa kudodosa tu Mh, Lini mpango kazi huo mtaanza kutekeleza??!
 
Back
Top Bottom