Tanzania Daima: Kigogo mwingine afa Hazina

Pole kwa wafiwa. Utumishi watangaze hiyo nafasi wazi ya kazi sasa.
 
Nimeisikia hii taarifa kama kichwa cha habari kwenye gazeti la Tanzania Daima kupitia radio.

Kwenye taarifa kamili tafadhali atujuze

Maendeleo hayana vyama!
Da aiseeee Huyu jamaa namfahamu sana yaani alikuwa ananiungisha sana mishikaki na chips hapa kibandani kwangu,

Sikujua kama ni kigogo, sikujua kwamba ana wadhifa mkubwa serikarini nilichojua ni kwamba alikuwa mtu simple sana na nilishapiga nae story nyingi sana na ata za upande ule wa Uchakataji


R.I.P
 
Back
Top Bottom