Tanzania Daima: Kigogo mwingine afa Hazina

Huyu anakua kigogo Kama si watatu Ni wanne kwa mwaka huu, Alianza Dada Carol Musika alikua Mkurugenzi Msaidizi, ofisi ya Msajili kifo chake Ni utata mtupu mwezi Machi! Kisha Lwajabe na Sasa msuya, hao Ni wale wanafahamika! Musika alikua na miezi 8 tu akitokea Nida kabla ya hapo alikua TBC Kama Naibu Mkurugenzi..system inaua Sana hii..
Dah!

Ukipewa kesi ya makosa ya mtandaoni utakuwa wamekuonea mkuu? Je awamu za nyuma kabla hii awamu ya tano serikalini wafanyakazi walikuwa hawafi mkuu?

Kifo kinapangwa na muumba sio vinginevyo mkuu.
 
Kaa kimya kenge wewe', familia yako haijaguswa!
Dah!
Ukipewa kesi ya makosa ya mtandaoni utakuwa wamekuonea mkuu? Je awamu za nyuma kabla hii awamu ya tano serikalini wafanyakazi walikuwa hawafi mkuu?
Kifo kinapangwa na muumba sio vinginevyo mkuu.
 
Alianza lwajabe akafuata john msuya kisha akafuata huyu.Doto naona umeamua kuwamaliza
 
Attachments

  • Screenshot_20190822-124835.png
    Screenshot_20190822-124835.png
    140.3 KB · Views: 23
Kila nafsi itaonja mauti.
Kama kuna watu wanajihusisha na ukatishaji maisha ili kufanikisha uhalifu wao,wanainajis familia zao na vizazi vijavyo.
 
SALAMU KUTOKA KUZIMU
"Atakufa. Lazima afe. Na atakufa kifo cha kisayansi kabisa. Mpango huu tumeuandaa kwa uangalifu mkubwa, Na watekelezaji wake pia ni watu ambao wamehitimu vizuri katika nyanja zote zinazohusika na kazi hii, Tuondoe shaka kabisa. Mpango huu utafanikiwa kwa asilimia mia".
Hivi hii kiu yenu ya damu za watu awamu hii itawaisha lini ?
 
Dah!

Ukipewa kesi ya makosa ya mtandaoni utakuwa wamekuonea mkuu? Je awamu za nyuma kabla hii awamu ya tano serikalini wafanyakazi walikuwa hawafi mkuu?

Kifo kinapangwa na muumba sio vinginevyo mkuu.

Kosa lake litakuwa nilipi hasa bwana vitisho,!
 
Ni pressure, alikuwa na wake 5. mengine ni siri za familia, ila kilichomuua ni shauri ya wake wengi. Tabia yake alikuwa anaishi nao bila ndoa, anawazalisha, anawajengea, mwishoe wanapelekana mahakamani.
Enewei huyo kilichomuua ni pressure na sio mambo mengine kama wanavyosema watu.
Bila shaka wewe ndiye ulisaini death certificate yake,vinginevyo unaingia anga ndizo sizo.
 
Huyu anakua kigogo Kama si watatu Ni wanne kwa mwaka huu, Alianza Dada Carol Musika alikua Mkurugenzi Msaidizi, ofisi ya Msajili kifo chake Ni utata mtupu mwezi Machi! Kisha Lwajabe na Sasa msuya, hao Ni wale wanafahamika! Musika alikua na miezi 8 tu akitokea Nida kabla ya hapo alikua TBC Kama Naibu Mkurugenzi..system inaua Sana hii..

Unahisi tatizo liko wapi maana daah kazi kweli
 
Ni pressure, alikuwa na wake 5. mengine ni siri za familia, ila kilichomuua ni shauri ya wake wengi. Tabia yake alikuwa anaishi nao bila ndoa, anawazalisha, anawajengea, mwishoe wanapelekana mahakamani.
Enewei huyo kilichomuua ni pressure na sio mambo mengine kama wanavyosema watu.
Wewe inaonekana unajua mengi kuhusu hiki kifo....
 
Back
Top Bottom