Tanzania Daima: Kama CHADEMA ni Wachagga, CCM ya Waislamu?

Nilijua CUF ni waislam party ....labda baada ya kuolewa na CCM wamewaambukiza uislam

hhahahaahahaahhahh..hah..ha..ha..ebana Rev Fr masanilo ni noma,kumbe wanatakiwa wawe na CERTIFCATE OF MARRIAGE.Nani kasign...Tendwa nini..atasign pia CERTIFICATE OF DEATH very soon
 
Hilo gazeti halina jipya, siku hizi ni kioo cha akina RACHEL huku wakisahau kutangaza maandamano ya CDM, maeneo ya Posta yanakauka na jua hadi siku ya pili, yakikosa wateja
Someni magazeti Watanzania wenzangu. Hii kuhusisha hiki na kile haitusaidii sana. Inatuviza. Inatupunguzia uwezo wa kuielewa vema nchi yetu na viongozi wake. Mimi ni uwezo tu sina. Ningekuwa nayanunua magazeti yote kila siku.
 
Sijutii kutolisoma hilo gazeti leo. Hili gazeti sasa hivi ni sehemu ya Habari Corporation. Hivi leo kweli mtu unaweza kuzungumzia Tanzania Daima wakati Raia Mwema iko mtaani? labda kama unataka kusoma mawazo ya mafisadi, ndo utapata Tanzania Daima.

mkuu unachanganya, hawajasema al nuur, uhuru na mtanzania, wamesema Tanzania Daima,ili ni gazeti pambanaji dhidi ya ufisadi , uyu ni mdogo wake manahalisi, kiboko ya wakwapuaji.
 
Morogoro magazeti yamefika ila Tanzania daima wanasema imechelewa. Labdfa litafika baadae maana watu wanaliuizia sana.
 
Akina Kibanda wangetutangazia hata kupitia redio pendwa za asubuhi kama CloudsFM, RadioOne, .....Tanzania Daima ya Jumatano ni chakula cha ubongo kwa baadhi yetu.

Thubutuuuuuuuuuuuu!! Hiyo headline ya leo wangeitangaza redioni watangazaji wote vibarua vingeota nyasi. Sio RFA, ITV, ATN, Mlimani wala TBC walioitangaza Tz Daima
 
Sijutii kutolisoma hilo gazeti leo. Hili gazeti sasa hivi ni sehemu ya Habari Corporation. Hivi leo kweli mtu unaweza kuzungumzia Tanzania Daima wakati Raia Mwema iko mtaani? labda kama unataka kusoma mawazo ya mafisadi, ndo utapata Tanzania Daima.
Kafanye upya home work yako mkuu.....uko wrong completely!
 
Thubutuuuuuuuuuuuu!! Hiyo headline ya leo wangeitangaza redioni watangazaji wote vibarua vingeota nyasi. Sio RFA, ITV, ATN, Mlimani wala TBC walioitangaza Tz Daima

Haukunielewa. Wangetutangazia kuwa leo lingechelewa kutoka kwa "sababu zilizo nje ya uwezo wao".
 
Mkuu picha yako hii inaeleza mengi sana kuhusu wewe, na inaonesha we ni mtu wa namna gani . pole sana jipe moyo mungu atakusaidia

avatar34266_1.gif


Inaonesha siku watawala na mafisadi kina RA watakapotiwa lupango watakavyoonekana, maana hata Sadam na Mubarak walikuwa hivi siku walipokamatwa.
 
Labda kariakoo kwenye meza za misikitini....

Chadeda-Kata amekasirika, Magazeti ya Tanzania Daima mbona yapo mengi kuanzia pale polisi msimbazi yamejaa tu, ukienda mitaa ya shule ya uhuru yanapigwa jua ikifika jioni wanauza kwa kilo wanakwenda kufungia pweza tandale, buguruni, huo ndio ukweli kama unabisha njoo sasa hivi ujionee
 
M.M Mwanakijiji kachemka vibaya na hiyo hoja yake regerege, uwezi kafananisha Dini na kabila, Uislam ni zaidi ya uchaga, sababu kasema Rais wa Jf inaonekana hoja ya msingi, Mwanakijiji vipi Waislam ambao wapo Chadema unawaweka wapi?
Mbona hukusema wachaga wa CCM Nape anawaweka wapi mkuki kwa nguruwe.
 
B]Ni kweli kabisa. Kuanzishwa kwa chama cha siasa ni vuguvugu-lazima lianze na watu wanaoamini ktk kile ambacho chama kitasimamia. Lazima chama kitaanza na watu wanoamini ktk interest fulani na namna ya kuzipata, sasa hao watu wanaweza kuwa wasomi, wakulima, wafanyakazi, kanda fulani, au kada nyingine yeyote ya watu. Jukumu la waanzilishi ni kuwashawishi watu wengine (wenye mahitaji kama yao) wawaunge mkono. Chama hakiwezi tena kubakia kuwa cha waanzilishi kama kimeshaungwa mkono na watu wengine tofauti na wale waliokianzisha. Kwahiyo kuhusianisha chama na waanzilishi moja kwa moja, tena kwa madhumuni mabaya-that is just cheap propaganda. Watu wa namna hiyo wamechoka mwili na akili na ni hatari kwa ustawi wa taifa.[/B]
 
Mkuu kwani ulikuwa ujui? si unawaona wanavyotoa maneno, mimi gazeti likishaanza kusifia mafisadi sitaki ata kuliona

Unajikomoa. Unabinya wigo wako wa kuelewa mambo. TanzaniaDaima la Jumatano linachangiwa na wengi.
 
CCM ni chama cha Kitaifa na kimataifa..kisera na hata kiuongozi (mpangilio nk)

Chadema ni chama cha kidini (ukristo) na kichagga kisera na hata kiuongozi (mpangilio nk)

Utaratibu wa kupata viongozi wa juu unaratibiwa na kanisa..kwahiyo waislamu watawekwawekwa tena wachumia tumbo e.g. Prof. Safari, Yule makamu wa darasa saba (kama vile wamekosa educated muslims) wanafanya kiini macho....

Chadema ki-utaratibu kinahakikisha maslahi ya kifedha yanafaidisha wachaga..tafuta watunza fedha na watumiaji fedha wengi wanatokea huko..wengine mtachujwa na kuzushiwa kashfa mpaka muondoke...

Waislamu wenye uwezo wamebinywa kwa maelekezo ya kanisa katoliki (hidden) mfano Zitto will go no where??, jambo hili linaratibiwa katika jumuia za kanisa katoliki mitaani....

Wanaweza kujivua gamba wakidhamiria kweli..lakini wanakoelekea wataimba sana kupata nchi kwakuwa ni wabaguzi wengi wa washabiki wao ni "christian fundamentlist"

Nembo ya chama ni msalaba (mistari meusi) wakipata nchi wanakamisha...

wamejificha lakini wanaonekana wazi kwa tabia, nyendo zao...
 
Sijutii kutolisoma hilo gazeti leo. Hili gazeti sasa hivi ni sehemu ya Habari Corporation. Hivi leo kweli mtu unaweza kuzungumzia Tanzania Daima wakati Raia Mwema iko mtaani? labda kama unataka kusoma mawazo ya mafisadi, ndo utapata Tanzania Daima.

Hili ndo lile litakataka lililotumwa na ccm kuja kujibu hoja zenye mashiko hapa JF. Tukisema kwamba ccm hawana watu wanabisha!

Sasa hili li-Nunda halina tofauti na Nepi anayeropoka bila kujua madhara yake, sasa ina backfire.

Kama ccm mmeamua kutuletea mpaka mazezeta kuja kutujazia JF kweli mmeamua kuja kufanya fujo tu humu.
 
Back
Top Bottom