Tanzania CUSTOMS is dead? or doing IVORY business?

VIKWAZO

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
1,899
580
[h=3]Malaysian customs seize third African (Tanzania) ivory haul, where is Tanzania customs agent?[/h]
KUALA LUMPUR, Malaysia -- Malaysian authorities have confiscated some 700 African elephant tusks worth about 3 million ringgit ($1 million) destined for China. It was the third seizure of illegal ivory in the country since July.

Customs official Zainul Abidin Taib says the tusks were packed in gunny sacks and hidden in two containers of recycled plastic from Tanzania that were seized last Friday.

Wildlife trade monitoring network TRAFFIC on Tuesday lauded the ivory seizures. The group said it underscored Malaysia's status as a transshipment hub for illegal ivory fueled by rising demand in China.

Malaysian customs seized more than 1,000 African elephant tusks in two earlier shipments. No arrests have been made but Zainal said investigations were ongoing.

436-TSY2d.Em.55.jpg

AP Photo - In this photo taken on Monday, Sept. 5, 2011, Malaysian customs officers inspect elephant tusks which had been seized on Sept. 2, in Port Klang, outside Kuala Lumpur, Malaysia. Malaysian authorities have confiscated some 700 African elephant tusks worth about 3 million ringgit ($1 million) destined for China, the third seizure of illegal ivory since July.
180-xbaDD.Em.55.jpg

my opption: is china a friend? where is Tanzania customs? involved or beaten in the game
 
iHii nchi anayoiendesha dogo is a very beautiful b.f. country na inashangaza haogopi kabisa maafa yanayoweza kuikumba nchi hii. Kazi yake kubwa akishirikiana na wenzake ni kuimba amani, na kukilaumu chama fulani kwa kutaka kuvunja amani wakati yeye ndiye anaonekana chanzo kikuu cha kuvunjika amani hiyo.

Lakini hebu soma hapa utaona nachosema kina maana gani:

If I were a thief, I’d demand a law against politicians invading my turf

By JENERALI ULIMWENGU

If I were a thief I would have lodged a complaint with whoever is supposed to regulate these things. I’m not a thief – not yet, since it looks it’s never too late to become one – but this behaviour really irks me. It’s the behaviour of our politicians I’m talking about. I mean they are being very unfair to our thieves.

It’s like this. Politicians set out to do politics. That’s what they tell us they want to do. If that is the case, they are supposed to make adequate preparations for the job. An aspirant would have to immerse himself/herself in a serious examination of the political history of the world, since those days when serpents were telling people to eat a certain fruit and the offenders were passing the buck, first Adam blaming God and “that woman you gave me,” and then Eve blaming the poor snake, the only character in the fable who did not present a defence. Politics.

Our wannabe politico would study Plato, Cicero, Seneca, Marcus Aurelius, Hobbes, Hegel, Marx, Bakunin, Gandhi, etc. He would dive into History, Philosophy, and the arts of abstraction, argumentation and disputation; he would whet his oratorical skills and learn how to employ that felicitous turn of phrase when needed. He would make himself the darling of the masses and they would honour him with political power, which he could use to honour the people right back, or abuse it and become a failed politician, a disappointment.

A would-be thief, on the other hand, would learn how to break in, clobber or kill guards before making away with his loot, preferably with minimum harm to himself and his co-thieves. He would study the great robberies in history to find out how his heroes pulled off their jobs.

He would try to find out how that notorious Barabbas convinced the Pharisees and Sadducees that he, the notorious thief, should be set free and Jesus crucified in his place. He would perhaps study how Ronnie Biggs did the Great Train Robbery. He might even want to read up on Houdini to learn the ropes of impossible escapes, though, of course, there is no suggestion that Houdini was a thief.

Those are the two different routes of preparation that our politician and thief would take, if we lived in a rational society. But we don’t, and as a result, thieves are doing politics and politicians are doing thieving. Everything is mixed up so much so it is becoming pretty nigh impossible to tell one from the other. And this is where I detect unfairness.

It’s unfair because the politicians who do thieving are cheating everybody because they do not work for the loot they take. They never take the risks that a real thief takes. They never run the risk of coming up against a robust security apparatus that shoots on sight, or Doberman hounds that hold you by the groin till daybreak.

No, the thieving politicians just sell their offices, and their countries, in the comfort of their cool offices, signing off chunks of territory with whatever lies on, in, or under it with the abandon of a drunk. They are really unfair to the real thieves, those who sweat and for their loot in an occupation that always threatens life and limb.

In certain countries, such as in some Asian countries, politicians who do thieving know they are doing it at great risk of being severely punished if found out. They have been going to jail routinely, and this has included former heads of state. In one country they simply shoot them.

In East Africa, if you are a politician and practise thieving, you get promoted to higher office, say MP, or minister, or even head of state. The more you do thieving the more cash you collect to use in vote buying at the next election so that you can continue thieving…

Seriously, our thieving politicians are being dishonest twice, in the sense that even their thieving is not done properly, like real thieves do it. They are thieving and teaching at the same time, which should not be allowed.

CHANZO: THE EAST AFRICAN.
 
Tena haya yanaonesha ni ya zamani na yametokea hukohuko yalikohifadhiwa, wizarani. Au ndio yale meno waliyoyaombea kibali wajanja wachache wameamuwa kuyauza kimya kimya?

Byebye Waziri muhusika.

Wote tena, wa Hifadhi, wa mambo ya Ndani na wa Fedha.
 
yawezekana ni kweli maana mzigo wa bilioni moja sio dili ya mlala hoi
napa kujua kwamba wakiweka kwenye uchafu wa recycle ndio njia rahisi inatia shaka zaidi
kwamba haya mambo yanafanywa wizarani kwa maana nyingine serikalini
 
Tena haya yanaonesha ni ya zamani na yametokea hukohuko yalikohifadhiwa, wizarani. Au ndio yale meno waliyoyaombea kibali wajanja wachache wameamuwa kuyauza kimya kimya?

Byebye Waziri muhusika.

Wote tena, wa Hifadhi, wa mambo ya Ndani na wa Fedha.

FF viongozi wako wanatia aibu wanauza kila kitu kama hawana akili na wala hawaonyeshi kushtuka wanapoambiwa wamekosea ajabu sana viongozi wa Tanzania wa awamu ya nne.
 
Tena haya yanaonesha ni ya zamani na yametokea hukohuko yalikohifadhiwa, wizarani. Au ndio yale meno waliyoyaombea kibali wajanja wachache wameamuwa kuyauza kimya kimya?

Byebye Waziri muhusika.

Wote tena, wa Hifadhi, wa mambo ya Ndani na wa Fedha.

Labda wewe mwenzao ukisema watakusikiliza. Wakisema wengine " wanasema nyinyi ni mzushi huitakii mema Tanzania", na pengine kukupa kabisa uwanachama wa chama kileee...kinachovaa magwanda.
 
Labda wewe mwenzao ukisema watakusikiliza. Wakisema wengine " wanasema nyinyi ni mzushi huitakii mema Tanzania", na pengine kukupa kabisa uwanachama wa chama kileee...kinachovaa magwanda.

chadema, au unatafuta umaarufu,
kuna tatizo kwenye mipaka yetu kama tupokuwa makini sio tu maliasili zetu zitaendelea kuibwa bali
magaidi wanafanya sehemu ya kupitisha mambo yao, tutakosana na kila nchi kwa tamaa za pesa na sheria mbovu
 
Kama rais yuko bize anapokea suti mpya, kama chama tawala kimeshindwa kuwafukuza mafisadi, kama kila wizara inaendeshwa kama vile ni mradi, mnategemea nini? Haya ndiyo matokeo yake.
 
Naona aibu kuitwa mtanznania, sijui kwa nini nilizaliwa tanzania.
 
Naona aibu kuitwa mtanznania, sijui kwa nini nilizaliwa tanzania.

kila siku TANZANIA inajitangaza duniani kwamba ina mamlaka na vyombo vya kiserikali dhaifu, matokeo yake ndio maana
hata wawekezaji wanaojitokeza kuja hapa nchini ni waovu na wakwepa kodi, hakuna mtu anayefanya biashara ya halali anayetaka kujiingiza
katika mazingira kama haya.
huu uc hafu a kwamba KASITAMU ni utoroshaji wa mali za umma ni wa muda mrefu lakini vyo vya dola/usalama hazijatumbukiza watu wake huko kupata intelejensia ili kuvuia, kama vyombo vya usalama havina watu katika mashirika na ofisi za umma na makampuni binafi tumekwisha
 
Tena haya yanaonesha ni ya zamani na yametokea hukohuko yalikohifadhiwa, wizarani. Au ndio yale meno waliyoyaombea kibali wajanja wachache wameamuwa kuyauza kimya kimya?

Byebye Waziri muhusika.

Wote tena, wa Hifadhi, wa mambo ya Ndani na wa Fedha.
Hiyo ndiyo serikali yako unayoisifia kila siku humu JF. Kuna yale yaliyokamatwa Pemba yakiwa kwenye magunia ya Dagaa yakitokea kanda ya Ziwa, angalia uozo huo, hawa ni wafanyabiashara ambao CCM inawakumbatia na kuwatumia wakati wa uchaguzi ili waendelee kuwaibia wananchi. Kazi kweli kweli.
 
Jakaya Kikwete ameshindwa kuiongoza hii nchi...mpaka wikileaks wamemtaja hafai... Anazidi kuwaweka watanzania katika hali ngumu ya maisha. Ni ujinga mtupu.
 
Jakaya Kikwete ameshindwa kuiongoza hii nchi...mpaka wikileaks wamemtaja hafai... Anazidi kuwaweka watanzania katika hali ngumu ya maisha. Ni ujinga mtupu.

kwenye mkutano na wakandarasi amesema sasa wala/wapoke rushwa atawatoa kafara/mfano
hivi alikuwa wapi? nchi imegeuzwa magendo, hakuna kilichobaki
 
kwenye mkutano na wakandarasi amesema sasa wala/wapoke rushwa atawatoa kafara/mfano<br />
hivi alikuwa wapi? nchi imegeuzwa magendo, hakuna kilichobaki
yaani ndugu yangu, watanzania tuna taaaaabu kweli kweli.
 
Ndio maana jamaa yangu moja alienda kusoma Malaysia kimtindomtindo!!! Jamaa aliwekwa pale Ivory na mzee Luhanjo akawa anatajirika tu...yaani yy ni Selous na Dubai trips. Mara anaenda kusoma masters Malaysia wakati ni form four leaver tu! Huko yy ni trips to Dubai...China ...Malaysia ...nikawa najiuliza kama ni kusoma basi ni mda gani huo?

Jamani hiyo ni biashara ya Mzee Luhanjo, anataka kustaafu vizuri.
 
mimi nina imani kuna mtu mzito kama mzee luhanjo kwenye hizi deal ndio maana serikali ina kigugumizi kuchua hatua
maana kufanya hivyo ni sawa na serikali kujiwajibisha yenyewe
ina kuwa kama issue ya mafuta kuchakachuliwa wahusika wanajulikana lakini serikali ikaona bora
kupandisha bei ili kuwagandamiza wananchi lakini wakubwa wa huo mchezo hakuna anaye jela, sasa tuna haja ya usalama wa taifa kwa mtindo huu
 
Back
Top Bottom