Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TANZANIA CIVIL AVIATION: Wanatumia milioni 20 per day kununua mafuta

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BORGIAS, Jun 12, 2012.

 1. B

  BORGIAS Senior Member

  #1
  Jun 12, 2012
  Joined: Jun 3, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sababu ni kuwa hawana umeme kwenye jengo lao jipya ambalo walikabidhiwa na contractor na lilifanyiwa ukaguzi na kuthibitishwa kuwa linafaa kuhamiwa na kutumiwa na idara hii nyeti ya serikali.

  Nakutakieni jumanne njema kwenye kuendeleza gurudumu la maendeleo la nchi ya Tanganyika.
   
 2. N

  Njaare JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 1,066
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Watapataje cha juu kama hakuna kitu cha kununua? Angalia bei ya lita ya mafuta ndo utajua
   
 3. Utamaduni

  Utamaduni JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 1,054
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Tanganyika ni zaidi ya uijuavyo,

  Atleast wangehamia kama ofisi haina maji kidogo wangekuwa makini mana wangeflash na nini? lakini kwa kuwa umeme una cha juu kikubwa na hauwaathiri wao bali unaathiri kazi iwapo hautapatuikana, aaaah haina shida. Ingekuwa maji hamna ingewaathiri wao ndo mana walihakikisha yapo kwanza.
   
 4. Rohombaya

  Rohombaya JF-Expert Member

  #4
  Jun 12, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 6,328
  Likes Received: 1,529
  Trophy Points: 280
  sijaelewa yaani wanatumia millioni 20 kununua mafuta kwa siku kwa ajili ya kuendesha jenereta? Tafadhali naomba unieleweshe vizuri sisi wengine akili zetu nzito kidogo kuelewa
   
 5. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #5
  Jun 12, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 12,403
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  Hii audit yake rahisi sana ni kwenda kuangalia tu masaa ya kazi kwenye Generator.
   
 6. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #6
  Jun 12, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 4,668
  Likes Received: 558
  Trophy Points: 280
  Kwa mzalendo Kama mimi siku ya Leo itakuwa mbaya na sio Kama ulivyotutakia,kila iitwapo leo fedha za walipa kodi masikini zinaliwa na watu wachache.Hatukatai matumizi ktk ofisi za serikali,tunapinga matumizi mabaya yanayolirudisha taifa nyuma.
   
 7. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #7
  Jun 12, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 4,668
  Likes Received: 558
  Trophy Points: 280
  Nnajua utakuwa umestuka sana mkuu lakini habari ndivyo hivyo ilivyo.Inatumika sh milioni 20 kwa ajili ya kupata umeme ktk jengo Hilo lenye ofisi za Serikali hii ya Tanzania.
   
 8. I have a dream

  I have a dream Member

  #8
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kwa ufupi civil aviation wanatumia umeme wa tanesco na walipohamia walikuwa wanatumia umeme wa tanesco pia. umeme wa genereta ulitumika kwa dharura tu na siyo vinginevyo.
   
 9. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #9
  Jun 12, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 28,648
  Likes Received: 3,534
  Trophy Points: 280
  mafuta ya milioni ishirini kwa siku? Wanaoga au?
   
 10. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #10
  Jun 12, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hiyo Generator inawasha Dar Nzima au? Mbona watanzania tunapenda uongo na majungu?
   
 11. Rohombaya

  Rohombaya JF-Expert Member

  #11
  Jun 12, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 6,328
  Likes Received: 1,529
  Trophy Points: 280
  maweee........hiyo pesa mbona unapata karibu lita elfu 9 kwa bei ya wabunge ambazo ni sawa karibu na lita 750 kwa saa. Hizi zinaweza kutoa Megawati karibu 3!!!! sawa na matumizi ya wilaya nzima ya kinondoni :angry:..... Bwana alitoa... bwana alitwaa
   
 12. c

  chief 1 JF-Expert Member

  #12
  Jun 12, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 257
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Teh teh teh haaa mkuu nimeipenda hii!! Yaani habari zingine ukizisikia unaweza kupata ugonjwa wa moyo!!
   
 13. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #13
  Jun 12, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,136
  Likes Received: 1,455
  Trophy Points: 280
  Si kweli linatumia lita 600 kwa siku!milioni 20 imekua IPTL?na ni kipindi tanesco umeme umekatika
   
Loading...