Tanzania chini ya JK inaweza kufikia maendeleo haya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania chini ya JK inaweza kufikia maendeleo haya?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by QUALITY, Oct 2, 2010.

 1. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Yako mambo mengi ya kimaendeleo ambayo hayashughulikiwi. Hivi punde wizara ya ardhi imetoa video inayoonesha mji wa kisasa wa Kigamboni. Abao inasemekana utajengwa kwa miaka 20 kwa awamu tatu. yaani awamu ya kwanza 2011-20; awamu ya pili 2021-2025 na awamu ya tatu na ya mwisho 2026 to 2030. Lakini cha kujiuliza ni kuwa hao watakaowekeza serikali itawalipa lini?

  Mbona reli ya kati imeshindikana?

  Barabara za ndani Dar kwenyewe zimwshindikana? Huduma za afya ndo usiseme; sasa hili litawezekanaje?

  Jioneeni kupitia kiunganishi hiki


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Mchizi

  Mchizi JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2010
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 670
  Likes Received: 847
  Trophy Points: 180
  Ni kwa hisani ya watu wa marekani
   
 3. M

  Matarese JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2010
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kwa kizazi hiki na serikali hii, haiwezekani kamwe!
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  jamani kwa nini maendeleo haya yacwezekane. Issue ni investiment style. Watu walitoa negative opinion kwa mlimani city project lakini imewezekana. Much iknow kigamboni itajengwa na private companies na individuals harafu watajilipa wenyewe.
   
 5. d

  dotto JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  maendeleo kweli tunayo maana huku Kwetu Igunga jamaa aliahidi kutuletea meli sisi tukamwambia hatuna ziwa akasema nitaleta ziwa pia, akaahidi daraja tukamwambia hatuna mto akaahidi mto. huko kaahidi nini!!.

  Kigambo imeuzwa na taarifa nyetu ni kuwa jamaa wanachotaka ni kuchimba Gesi suala la mji mpya ni geresha tu. ccm na jamaa anajua. gharama yake ni njuruku za uchaguzi. pole wanakigamboni.
   
Loading...