mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Hakika kada yeyote wa CCM kama ana akili timamu anapaswa akubaliane nami kuwa Tanzania ya watu Masikini chini inayoongozwa na CCM kila aina ya wizi inawezekana bila kukamatwa.
Ripoti ya CAG wetu inathibitisha hilo kutokana Na wizi Na ubadhilifu uliofanywa kila kona ya Tanzania. Inaonekana nchi iliruhusu kila mwenye uwezo aibe sehemu alipo. Wizi kila mahali wahusika wanajulikana Mawizara, Mashirika, Halmashauri n.k.
Dawa za Bilioni 2 Kutoka MSF kwenda Hospital ya Muhimbili zinachukua zaidi ya mwaka kufika Viongozi wako kimya hakika CCM mbona mnatutesa Watanzania? Kosa letu nini?