Tahariri yenye Taharuri
JF-Expert Member
- Dec 23, 2017
- 416
- 499
HaswaMKUU JESHI LA POLISI WALIKUTEKENYA NINI? naona umeamua kuchepuka kabisa kwenye mada na kuanza kushabulia Jeshi letu. Aidha usitegemee uwepo wa katiba mpya ukadhani ndio itakua suluhisho la makando kando yoote, unahitaji taifa lenye MORAL ETHICS ambazo zitazaa PATRIOTS tutaoweza kuwakabidhi majukumu ya kuiendesha nchi, hiyo katiba unayoiabudu ikikosa watu wenye MORAL ETHICS na PATRIOTS ni kitabu cha hadithi za abunuasi tu!