Naona kama umeteka mjadala ukaanza kuleta wa kwako wenye maudhui mengine kabisa tena ya kisiasa. Anzisha thread yako ktk jukwaa la siasa.
Kama hujui maana ya maadili, unasema!
Naona kama umeteka mjadala ukaanza kuleta wa kwako wenye maudhui mengine kabisa tena ya kisiasa. Anzisha thread yako ktk jukwaa la siasa.
Duh!!!hawana uangalizi kabisa kwa watoto wao.
Hali ngumu ya kimaisha tu.Salaam, wana badi wote
Kama nilivyoanza hapo juu, nyie mna mchango sana Katika hili, kwa mfano
1.ni kawaida mtoto wa kike maswala zake kujulikana kwa mama yake, na mama anaona sawa tu, tena mama anatoa comments, mwanangu Ana hela yule "?
2.n I kawaida mtoto wa kike kuaga anakwenda kulala kwa jamaa yake na mama anamwambia usisahau kurudi na Sukari eeeeh, asubuhi
3.na vile vile, mtoto wa kike anaweza kwenda lala kwa jamaa na mama anajua lakini a simwambie baba,
Mifano Michache tu hiyo, haya tunayaona huku kwetu tunapokaa ambapo dagaa mchele wa kukaangwa fungu 500 tu,
Sasa kina mama mbadilike, nyie ndio magharibi jamii kwa ujumla.
Mwenye haja aje
Ijumaa kareem kwenu
Cc. Ukhuty, chikira mtabiri, paprika.
wadau, ningeomba kuuliza , hivi kumomonyoka kwa uadilifu kwa watoto na vijana , nani wa kulaumiwa, wazazi? watoto wenyewe?, au jamii yote?
Hata kuzielekeza fedha za rambirambi kwenye matumizi mbadala ni mmomonyoko wa maadili. Alaumiwe nani?
wadau, ningeomba kuuliza , hivi kumomonyoka kwa uadilifu kwa watoto na vijana , nani wa kulaumiwa, wazazi? watoto wenyewe?, au jamii yote?
Paka tutakapo rudi kwenye Mila zetu tuka acha Mila zao za kishenzi.Ushoga, usagaji, chuki za udini??????
Waswahili tunayo matatizo yetu, sawa nakubali, ya kitamaduni, kisiasa, kiuchumi, kihistoria na kadhalika, lakini mengine so yetu,ni ya kuletewa. Kabisa, sababu ya ujinga, na uduni wetu watu wametufanya
Maabara ya ndoto na matamanio ya kidhalimu
Je tufanye nini kukabiliana na mfadhahiko huu na shinikizo La utandawazi, katika tasnia ya utamaduni, jadi mila na desturi???
Nondo zako unazo ziandika ipo siku watu wata zisoma sana wata fikiria sana wata like sana wata comment sana.Ni kweli
Ludi=RudiPaka tutakapo ludi kwenye Mira zetu tuka acha Mira zao za kishenzi.