Tanzania Breweries Ltd

Mukubwa

Senior Member
Aug 20, 2007
132
22
kwa mujibu wa habari hapa kenya kampuni ya bia ya africa mashariki itavunja mkataba wake wa makubaliano ya kibishara na kampuni ya bia Tanzania, hili linafanyika ili waweze kununua kampuni ya bia ya Serengeti. Source KTN news.
 
Hivi Serengeti nani sana anaimiliki??

Vipi bia ya Tusker tutapata??

Tusker Baridii Upo hapo?? Mzee Unaweza kufafanua??
 
Back
Top Bottom