Tanzania bila ya kuwepo kwa multi party system forum kama hii ingekuwepo?

Atanaye

Senior Member
Oct 31, 2007
153
8
Bado mimi ni mgeni hapa JF na najaribu kutafuta njia za kupezi nk.

-Nilijikuta natuma thread mara ya kwanza badala ya ku reply kwenye post.

Hata hivyo nimeona jinsi gani forum hii inavyo pangua changamoto za Tanzania na Wanachi wake, na jinsi gani inavyochangia na inavyoweza kuchangia mbeleni katika maendeleo ya Jamii na Nchi!.

Vilevile nilikuwa na swali kwa wana J.F wenzangu Tanzania bila ya kuwepo kwa multi party system forum kama hii ingekuwepo?

Ukiondoa utumiaji wa kawaida wa mtandao au Intaneti- Ni nini inachangia kuwa na uhuru wa kujieleza hasa kwa mtanzania?

mwana JF,
Atanaye
 
Atanaye,

Tatizo la "What if" alternative history ni kuwa iko too speculative na watu wa JF wana shun speculations ndiyo maana hupati majibu.Maana hapa JF ukitoa statement watu hawakucheleweshi kukuomba source kama ume-research au una speculate.

Sasa ukiondoa hilo, ingawa ni vigumu ku-imagine dunia yenye internet bila mageuzi kwani mageuzi katika teknolojia yamechangia mageuzi ya kisiasa (read the early days za CNN na CTN Tanzania), tunaweza kusema ingewezekana kabisa kama for some reasons Tanzania wangeweza ku-resist mabadiliko basi tungekuwa kama North Korea fulani.Nchi ambayo iko chini ya tyranny na watu hawana hata broadcast za BBC achilia internet.

It is very hard to imagine a forum that is solely discussing CCM politics.The nature of the internet is plurality, choice and freedom of expression so I cannot view an anomalous case for Tanzania.

Of course, given adequate research funds and time to develop my "branching off universes" theory I can dip into my crystal ball and tell you exactly what happens not only in your scenario, but also what happens in the space-time continuum populated by the ten years of a Mrema presidency (1995-2005) after beating Mkapa hands down in 1995.

Or for that matter the colonization of North America by the Chinese from the West to the East from 1421.
 
Pundit asante kwa kunitolea angalau ubutu, asante. Na mimi nimejaribu kujiuliza ni kwanini niliuliza hivi. Jibu nililolipata ni mshangao wa kuona jinsi tunavyoweza kuwashambulia au kushambulia sirikali yetu with impunity. Hii kujiuliza ilinipeleka kuuliza kihistoria.

But what if?
 
Atanaye,
Ndugu yangu kuwepo kwa demokrasia ni moja ya mabadiliko ya kidunia na hatuwezi kusema kwamba kijiwe hiki kisingekuwepo kama Tanzania ingekuwa haina multi party system, pengine tungekuwa ktk vita badala ya uhuru huu salama wa kuandika.
Demokrasia ni hatua kama vile ktk makuzi ya mtu hatuwezi kujiuliza na kuapata jibu sahihi Ebu jiulize mwenyewe swali moja:-
kama leo usingekuwa hapo ulipo ukawa kule ulikotoka ama zaliwa maisha yake yangekuwa vipi?... sidhani kama ni rahisi kupata jibu kwani maisha ni hatua na changes ni lazima kuzipitia ktk maisha.
Kitu kimoja tu kumbuka kila siku ya Uhai yako ni BORA kuliko jana yake!
 
Back
Top Bottom