Bado mimi ni mgeni hapa JF na najaribu kutafuta njia za kupezi nk.
-Nilijikuta natuma thread mara ya kwanza badala ya ku reply kwenye post.
Hata hivyo nimeona jinsi gani forum hii inavyo pangua changamoto za Tanzania na Wanachi wake, na jinsi gani inavyochangia na inavyoweza kuchangia mbeleni katika maendeleo ya Jamii na Nchi!.
Vilevile nilikuwa na swali kwa wana J.F wenzangu Tanzania bila ya kuwepo kwa multi party system forum kama hii ingekuwepo?
Ukiondoa utumiaji wa kawaida wa mtandao au Intaneti- Ni nini inachangia kuwa na uhuru wa kujieleza hasa kwa mtanzania?
mwana JF,
Atanaye