Tanzania bila rais na mawaziri inawezekana. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania bila rais na mawaziri inawezekana.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Calist, Nov 27, 2011.

 1. C

  Calist Senior Member

  #1
  Nov 27, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kama vile miaka 6 imepita hatuna rais wala mawaziri makini lakini mambo yanakwenda ingawa ni kimkandamkanda, kwanini tusiziachie kamati za bunge zikafanya kazi zao.?
   
 2. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kweli mkuu mambo yanavyokwenda utadhani hatunao kabisa yani na cjui hii hali mpaka lini
   
 3. BiMkubwa

  BiMkubwa JF-Expert Member

  #3
  Nov 27, 2011
  Joined: Jan 9, 2007
  Messages: 530
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Calist, umepatia kwa hoja yako maana mawaziri 3 wamelazwa India, hakuna dalili watarudi lini na watapona lini lakini wizara zinapiga kazi bila wasiwasi. Huyu kaka mkuu anaweza naye akapotea muda mrefu na mambo yanaenda. Kwa kweli tulete hoja ya kuwa na waziri mmoja tu au la maana haina maana wawepo.
   
Loading...