kwani ana kazi gani mbona hata akiwepo hakuna pengo...............???????,,,,,,,,,,,,,,tujadili mengine
Baada ya Dkt Shein kuapishwa kuwa Rais wa Zanzibar leo, Tanzania kwa sasa haina Makamu wa Rais! Hapa Katiba haijavunjwa wandugu? Tujadili!
JK akidondoka jumla leo hii nani atakaimu?
JK akidondoka jumla leo hii nani atakaimu?
katiba inasema atakaimu waziri mkuu, kwa sasa ni pinda
Kimsingi hata raisi hakuna kwa sasa mpaka pale atakapo apishwa.
Nchi ipo chini ya waziri mkuu ila ubishi tu.
Swamel SittaJK akidondoka jumla leo hii nani atakaimu?
Baada ya Dkt Shein kuapishwa kuwa Rais wa Zanzibar leo, Tanzania kwa sasa haina Makamu wa Rais! Hapa Katiba haijavunjwa wandugu? Tujadili!
Hii imekaaje??? Kutoka kwenye katiba yetu ibara ya 38 (2) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, kiti chaKimsingi hata raisi hakuna kwa sasa mpaka pale atakapo apishwa.
Nchi ipo chini ya waziri mkuu ila ubishi tu.
Swamel Sitta
kwa nini unafikiri shein si makamu wa rais?
Technically shein ni makamu wa rais wa muungano na rais wa zanzibar, hiki si kitu kipya, kina jumbe na mwinyi washakalia hivi vyeo pamoja kwa miaka.