Elections 2010 Tanzania Bila Makamu wa Rais!

Buchanan

JF-Expert Member
May 19, 2009
13,199
1,969
Baada ya Dkt Shein kuapishwa kuwa Rais wa Zanzibar leo, Tanzania kwa sasa haina Makamu wa Rais! Hapa Katiba haijavunjwa wandugu? Tujadili!
 
kwani ana kazi gani mbona hata akiwepo hakuna pengo...............???????,,,,,,,,,,,,,,tujadili mengine
 
kwani ana kazi gani mbona hata akiwepo hakuna pengo...............???????,,,,,,,,,,,,,,tujadili mengine

Issue ni uvunjwaji wa katiba.

Nikirudi kwa bwana Buchanan, katiba inasemaje kuhusu kipengele hicho?
 
Baada ya Dkt Shein kuapishwa kuwa Rais wa Zanzibar leo, Tanzania kwa sasa haina Makamu wa Rais! Hapa Katiba haijavunjwa wandugu? Tujadili!

VICE PRESIDENT URT - Dr Mohammed Gharib Bilal

UNASUBIRI UTANGAZIWE?
 
Kimsingi hata raisi hakuna kwa sasa mpaka pale atakapo apishwa.
Nchi ipo chini ya waziri mkuu ila ubishi tu.
 
Kimsingi hata raisi hakuna kwa sasa mpaka pale atakapo apishwa.
Nchi ipo chini ya waziri mkuu ila ubishi tu.

Waziri mkuu naye si anatokana na bunge? ni kweli ameshinda bila kupingwa lakini bado hajaapishwa....

POWER VACUUUM!
 
Baada ya Dkt Shein kuapishwa kuwa Rais wa Zanzibar leo, Tanzania kwa sasa haina Makamu wa Rais! Hapa Katiba haijavunjwa wandugu? Tujadili!

Usihofu JK ataapishwa Ijumaa na Makamuwake :hippie: every thing is undercontrol
 
acheni utani hii nchi haijawahi kuwa na Rais kwa miaka 5 iliopita, ilikua kwenye auto-pilot....sasa kutokuwepo makamu ndio kuna washtua....hawa viongozi wanatokea wakati wa uchaguzi kushinikiza uchakaxhuaji tu!
 
Kimsingi hata raisi hakuna kwa sasa mpaka pale atakapo apishwa.
Nchi ipo chini ya waziri mkuu ila ubishi tu.
Hii imekaaje??? Kutoka kwenye katiba yetu ibara ya 38 (2) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, kiti cha
Rais kitakuwa ki wazi, na uchaguzi wa Rais utafanyika au nafasi
hiyo itajazwa vinginevyo kwa mujibu wa Katiba hii, kadri
itakavyokuwa, kila mara litokeapo lolote kati ya mambo
yafuatayo:-
(a) baada ya Bunge kuvunjwa;
 
Kwa nini unafikiri Shein si Makamu wa Rais?

Technically Shein ni Makamu wa Rais wa Muungano na Rais wa Zanzibar, hiki si kitu kipya, kina Jumbe na Mwinyi washakalia hivi vyeo pamoja kwa miaka.
 
kwa nini unafikiri shein si makamu wa rais?

Technically shein ni makamu wa rais wa muungano na rais wa zanzibar, hiki si kitu kipya, kina jumbe na mwinyi washakalia hivi vyeo pamoja kwa miaka.

.......amekula kiapo leo hii...au hujui umuhimu wa kiapo huku umeshika likitabu la middle east?
 
Back
Top Bottom