Tanzania bila folen inawezekana jaman;"ujumbe wa wef"" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania bila folen inawezekana jaman;"ujumbe wa wef""

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, May 5, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,167
  Likes Received: 5,592
  Trophy Points: 280
  K wa wale mnaopitishwa na vingora tunawashauri si mnaenda huko game kusalimiana kuchekeleana ama kusifiana suti zenu bomba mmenua nua wapi ama yale mattoto ya rwanda yana shepu jamani
  nawashauri nenden mkaongelee mambo ya maana hata kama ni biashara inayokuhusu na jua itawasadiia na watanzania wengine......nje ya hapo usiache kmueleza mgen jamani leo mnapita free hii aipo kwetu wakiondoka ni moto wa folen mpaka mwisho wanaweza kuwasaidia nini cha kufanya south wana barabara nzuri ...wanaweza kutpa njia nini cha kufanya jamani ...

  Narudi kwa lililonileta jamani leo hii laiti Mungu angeniuliza ni nani wa kuwarudisha Dunian Basi ni trafiki waliotutoka..hakika wageni wamesaidia kutupa njia mbadala na kuonyesha kumbe tunaweza
  kuondoa folen barabarani...hakika barabara zimekuwa wazi safi jamani kila traffic light ukipita unaku
  ta traffic na redio yake anakuita na mkonga wake mwekundu....yaaaaaaaaaannni Raha...
  na wala si wengi jamani ni traffic wachache tu wanaweza kutumalizi hili tatizo...kuanzia mjini barabara ya salenda/moroco/mwenge yaani shangwe tupu//upande wa kawe ni shwangwe kujiachia
  jamani
  Hawa wagen sikjui tuwape nini yale mashimo ya BP pale njia ya kwenda BM BANK yamefukiwa unapita kama uko ikulu...wale wanaokwenda ama kutumia njia ya KAWE mmepewa temporary lami
  yale mashimo at least unaweza fukia ukipita...si hapo kwa wale wanaotumia njia ya lugalo
  na wanajeshi wameingia mzigoni na mavazi ya njano kama wako migodini wakiita folen jaman
  sijui nisemeje mnaokumbuka yale mashimo ya LUGALO yamefukiwa unapita kama unaingia kwa KIKWETE....SASA sijui njia ya kuingilia kwako hilo ndilo tatizo lililobaki tnaangali jinsi ya kufukia mashimo huko kwako...
   
 2. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Mama mia umeniwahi..nilitaka kusifia hali ya maisha bora toka hawa wageni wafike! Sijawahi kufurahi barabara kama kipindi hiki jamani!
  Kumbe solution ya traffic jams ipo!
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,167
  Likes Received: 5,592
  Trophy Points: 280
  sasa unajua nini ....nakuja baada ya dk 5 hili swala ni muhimu na la kitaifa .....
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,167
  Likes Received: 5,592
  Trophy Points: 280
  nawapongeza traffic kwa kuwa wasafi yaani sijui wamenunuliwa jezi mpya...ama mkifika mchana mnapeleka kusafisha yaani
  we acha tu WEF ntakukumbumbuka daima
   
Loading...