Tanzania Becomes First Country to Welcome all Tourists again with open arms

Watalii watakuwa waanasoma kitabu cha "Coronisation of Tanzania mainland by dr. Magufuli"
Wakiwa kwenye Ndege kuelekea usawa huu
 
Watalii watakuwa waanasoma kitabu cha "Coronisation of Tanzania mainland by dr. Magufuli"
Wakiwa kwenye Ndege kuelekea usawa huu

Hivi USA Covid-19 imeisha naona wanaandamana tu na kuleta fujo kwa Trump!
 
Watu wanapambana na covid nyie mnazungumzia utalii?!Ama kweli dunia kubwa!

Kwa nini tusifungue utalii? Sisi Covid-19 dawa ipo na mambo yanaendelea kama kawaida ambao wana matatizo na kuwewesekaweweseka ni hawa hapa: Amerika (USA) burning wapambane na hali zao. Sisi ni kuchapa kazi kwa kwenda mbele tu!
 
Sawa weka twakimu

Takwimu zinatolewa mfano Dar Es Salaam wamebaki wagonjwa 3 au 4 Waziri wa Afya alisema pamoja na mambo mengine katika taarifa yake. Dodoma 0; Mwanza 0 nk. Sasa unataka data zipi tena? Hivi huko shule mlienda kusoma kitu gani? Au hao mabwana zenu ndio wanawafundisha kuropoka kama Kenya, ambao wanaamrishwa kuwazuia Watanzania wasisafiri kwenda Kenya? Pambaneni na vibeberu vyenu maana sisi tupo tunachapa kazi na hatuna wasi wasi wowote. Kama mna Covid-19 dawa zipo bwelele tu Tanzania kuanzia Bycaro hadi za kujifukiza nyinyi endeleeni kuwatukuza tu hao makuwadi wenu ambao hivi sasa kunawaka moto. Amerika (USA) burning
 
Back
Top Bottom