Tanzania Bara vs Kenya - Live

Si umeona jinsi mpira ulivyokuwa mbovu mbovu. Hakuna kitu hapo hilo kombe hawataliambulia. Maluelue tu.
 
DSC09933.JPG

Kikosi cha Stars kilichowabamiza Harambee Stars.

Nashukuru Dua kwa kunikumbusha kuwa hii ni Kilimanjaro Stars. Thanks mkuu

invisible.........

taratibu kaka,unatutia AIBU WATANZANIA,hata timu yako ya TAIFA STARS huijui inaitwaje?loh hii kali.

mimi timu yangu ya taifa ya zanzibar inaitwa MAPINDUZI STARS au ZANZIBAR HEROES

any way tuendelee KUMKOMALIA NYANI GILADI.

weekend njema.
 
Invisible,pengine huu sasa ni wakati mwafaka wa kuua sections nyingine za JF eg MICHEZO na kulifanya JUKWAA LA SIASA kuwa mahala pa kila kitu.Mjenga nchi ni mwana nchi na mvunja nchi ni mwananchi pia.Napigania umuhimu wa kuzingatia sheria tulizojiwekea sie wenyewe.Tenga kuchaguliwa CECAFA imewekwa hapa,live broadcast ya TZ vs KENYA nayo imewekwa hapa.Nafahamu kuwa section hii ya JUKWAA LA SIASA ndio inayotembelewa zaidi lakini hiyo in itself sio sababu ya kukiuka taratibu,lkn cha zaidi ni kwamba kwa kuweka hapa kila habari yenye mvuto,pasipo kujali kuwa sio ya SIASA,hizo sections nyingine kama "Michezo" zitadumu vipi?

Having said that,asante kwa live broadcast ila next time iweke kunakohusika
 
msg delivered
nnatumai mkuu roboti utaufata huu ushauri maana huenda leo umetulia michezo hapa kwa kuwa ni muhimu timu yetu watz imecheza na tenga ni mwenzetu ameshinda. kwa ww umeona muhimu na kuweka hapa lkn madhara yake ni haya yafuatayo

1. inaidumiza forum husika nayo ya michezona burudan, ushauri kwa nn usiwekeangalio na kusema mambo yote yako kule kule chumba husika? nnategemea hapa patakuwa pazuri.

2,. mara nyingi hapa JF tunavichwa tofauti na hii ndio raha ya JF wenye kuona aah sawa lolote lile twende chakula ni chakula cha msingi kinajaza tumbo, ila wako ambao iko siku wataamua kuleta habari si za siasa hapa ili wapate watu na bodi yako kuchukua hatua na ikaanza mabishano kwa nn mada yangu imeondoshwa? sitegem ei lkn brotherman siiku akiamua kutonyesha watanzania wanavyowabinjua watu ulaya hapa b adala ya chumbani kwa sababu kule watu si wengi, muanze kupambana naye mseme an akiuka maadili?

mwisho kabisa hili limepita, na nnaamini nia yako roboti ilikuwa safi sana, ni kutuhabarisha watanzania wenzio yan ayojiri recently ndani ya nchi yetu na kwa faida yetu, ila jitahidi kabla hujafanya kuwsoma wanamember wako na madhara yake.

huo ndio ukub wa ukubwa ni hekima
 
Back
Top Bottom