Tanzania bara tunafaidika na nini kwenye muungano na znz?

franktemu123

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
1,400
1,451
Ndugu wanajamvi niulize hivi Tanzania Bara inanufaika nini na Muungano wa tanaganyika na Zanzibar? maana nimejaribu kufanya ka-utafiti kidogo sijaona maana kuanzia Raisi/ Makamu wa Rais (mmoja kati yao lazima atoke zanzibar) Appointments za Mawaziri/Naibu Mawaziri, Mabalozi, (sina Uhakika na Makatibu wakuu, Majaji), Wajumbe wa Tume mbali mbali(Uchaguzi, Katiba), Ugawanyaji wa Misaada,Scholarships toka nje ya Nchi, Wabunge toka Zanzibar kuingia Bunge la jamhuri ya Muungano, maamuzi ya kitaifa hayakamiliki mpaka Zanzibar washikirikishwe.
 
Na mimi pia nitafaidika kwa jibu litakalotolewa. Mtu akiniuliza,nitoe maoni kama muungano uvunjwe au lah! Nashindwa kujibu kwasababu bado sijafahamu ninachofaidika kutoka znz.
 
Mnaonaje kama walivyofanya wana UAMSHO ZNZ na watu kutoka Bara tuanzishe MOVEMENT ya kutaka MUUNGANO uvunjike? Maana kukaa kwetu kimya kunawafanya waamini na sisi bara tunanufaika na huo Muungano. I STAND TO BE CORRECTED!
 
tunapata misaada ya quran takatifu bure na walimu wa madrasa wakujitolea wengi sana na watoto wetu wanajifunza kwenye madrasa hizo.
 
tunapata misaada ya quran takatifu bure na walimu wa madrasa wakujitolea wengi sana na watoto wetu wanajifunza kwenye madrasa hizo.

Ww zuzu kweli, umeambiwa maendeleo ni kwa vi2 hvyo tu? toa jibu la maana na cyo upuuzi kama huu.
 
Ww zuzu kweli, umeambiwa maendeleo ni kwa vi2 hvyo tu? toa jibu la maana na cyo upuuzi kama huu.
mkuu emkey
wewe jibu lako ni lipi? taja hayo maendeleo na faida tunazopata unazozijua wewe, naona kama unadandia usichoelewa vile!!!
sasa kama mimi kwa upeo wangu wa kizuzu zuzu (km unavyoniita) ndivyo nilivyoona unataka niandikeje?
 
Mnaonaje kama walivyofanya wana UAMSHO ZNZ na watu kutoka Bara tuanzishe MOVEMENT ya kutaka MUUNGANO uvunjike? Maana kukaa kwetu kimya kunawafanya waamini na sisi bara tunanufaika na huo Muungano. I STAND TO BE CORRECTED!
chonde chode msichome makanisa wala misikiti..na mkizinata hao kwene movement hiyo nitashiriki mwanzo mwisho maana ni mmoja ambae sioni faida kwa watanganyika kuendelea na muungano zaidi ya security.....
 
Hakika hakuna tunachofaidikaa na huu muungano bora na sisi tubaki na tanganyika yetu.

Zanzibar ikijitenga kitageuka kuwa kisiwa cha magaidi kitu ambacho kiusalama kitakuwa ni hatari kwa usalama wa nchi ukizingatia jeshi letu lilisha zoea kulala.....
 
1.Kuwa na koloni duniani
2.Ajira mahotelini
3.Madanguro
4.Bakhresa
5.Trade mark as zanzibar
6.mafuta na gesi
7.TRA

nyegine zinakuja
 
cha zaidi Zanzibar wananufaika na Ajira JWTZ ingwa hakuna mtu kutoka bara anayeruhusiwa kujiunga na Jeshi lolote Zanzibar. Ati Kusema Tanzania bara inanufaika na utalii zanzibar sioni kama ni hoja yaani waweza kulinganisha National Parks zooote (zaidi ya 15), Mt. Kilimanjaro, Cultural tourism, Game Parks, extensive white sand s beaches, lakes,ancient towns(Bagamoyo&Kilwa, Kondoa Rock Painitings ni sawa na Utalii wa kisiwa cha Unguja&Pemba? kama ni kuendelea na Muungano iwekwe ZAnzibar kama sehemu ya Mkoa (kama si wilaya ya TZ). hapo tutakuwa tumemaliza. kama ni ishu ya zanzibar kuwa kisiwa ndo ijiite nchi basi ilibidi tuwe na muungano na nchi ya Mafia na vile visiwa vya kule ziwa victoria. Kusema ukweli wazanzibari hamjitambui ukichanganya na lile zuzu lenu mliloletewa na CCM liwaongoze FULL KAMSI kila siku linafanya vikao na watendaji. Mwaka wa pili huu madarakani linafanya vikao na uteuzi, ziara kukagua kilimo cha karafuu tu halina jipya. KAAZI MNAYO WATANZANIA!
 
Ukiangalia kwa mtazamo wa kawaida, mwananchi wa kawaida hawezi akaona ni faida zidi tuna zipata toka zanzibar,....imagine kama tutaiacha zanzibar iwe nchi inayojitegemea....ni eneo kubwa sana la pwani ya bahari ya hindi itaangukia chini ya mpaka wa zanzibar kwamaana iyo uhuru wa kutumia asili mali bahari kwa shughuli mbali mbali za kiuchumi zitakuwa zimepungua pia, na meli zinazokuja tanganyika zitatozwa kodi kwa kutumia maji ya zanzibar...chamsingi. Tuelimishane tu juu ya mutual gains tunazozipata wote kwakupitia muungano pamoja wengi wetu tunaweza tukawa hatuzioni...
 
Mnaonaje kama walivyofanya wana UAMSHO ZNZ na watu kutoka Bara tuanzishe MOVEMENT ya kutaka MUUNGANO uvunjike? Maana kukaa kwetu kimya kunawafanya waamini na sisi bara tunanufaika na huo Muungano. I STAND TO BE CORRECTED!

Tuchome misikiti kama mitano hivi kama wanavyofanya, inaweza kuwasaidia kuvunja muungano mapema. nafikiri wanaweza kutushukuru kwa hilo.
 
Ndugu Ginner!
Kwanza nashukuru kwa mchango wako wa mawazo, imngawqa kiasi sikubaliani na wewe kwa kiwango fulani ati tuzidi kuikubatia Zanzibar simply bcoz sehemu ya eneo letu la bahaqri litaangukia kwao. Kiuhalisia wacha tu liangukie, sio eneo hilo litapotea hata Akiba yao pale BoT wataichukua kama ujuavyo kila mabadiliko yana gharama zake si unaona Magufuli akitaka kujenga barabara lazima abomoe na wananchi wanavyolalamika?lakini baadae kidogo watu wanasahau na kufurahia barabara(mifano unayo). Sababu ya umaskini wetu TZ inachangiwa na Zanzibar wanaochukua nafasi nyingi za ajira TZ tena serikalini ni WAZANZIBARI nyie mmebaki kuwachukia Wakenya na Waganda wakati wabaya wenu wazanzibari mmewasahau. Haiingii akilini Mawaziri zaidi ya wa5 tena wengine wametengenezewa wizara zisizo eleweka ati lazima watoke Zanzibar....

Ginner unazungumzia eneo la Bahari kama sehemu itakayotukosesha mapato mengi... Hebu fikiria Rwanda haina Bahari wala Rasilimali kama TZ lakini kiuchumi wapo juu fikiria wana shirika la ndege la Taifa (RwandAir) wana ndege zinaruka Direct from Kigali to Dubai, Johanesburg,Kilimanjaro, Dar, Lagos na miji mingi ya Afrika ya Kati. TZ kutumia strategic location yake tu trungetengeneza hela sana tumekalia kubebana na Wazanzibari tu.
 
Wanatuounguzia hesima, tuwanyang'anye huu uhuru mdogo tuliowapa na wabaki mkoa
 
Tuchome misikiti kama mitano hivi kama wanavyofanya, inaweza kuwasaidia kuvunja muungano mapema. nafikiri wanaweza kutushukuru kwa hilo.

masaburi...!
Alaf baada ya hapo?we akili zako zipo pa kutolea haja kubwa
 
Back
Top Bottom