Tanzania Bara na Zanzibar waunganishe ligi

Kulingana na mfumo wa serikali zetu haitawezekana maana Zanzibar wanapigania wapate kiti umoja wa mataifa, pia wanapigania wapate ushiriki wa kombe la Africa na Dunia. Hivyo kuunganisha Ligi kutakwamisha jitihada zao na wao hawawezi kukubali.
Kama unataka hili shauri serikali yetu upande wa Bara na Visiwani uunde serikali moja tofauti na hapo haitawezekana na haitakaa iwezekane
Ligi ya muungano irudi
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom