johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,852
- 141,786
Duh.....umeeleweka lakini!Hiyo gas unayoiona kwenye mitungi ya kupikia ni imported 100% , Watanzania tunadanganywa sana kuna watu wanaamini kabisa akienda kununua gesi kwenye mtungi ni Gesi ya Kusini Tanzania, siyo kweli tuna import hivyo haya mambo ya uchumi wa gesi wa akina Makamba ni uongo na wizi kwani hiyo gesi siyo mali ya Serikali ya JMTZ Serikali itanunua kutoka kwa mmiliki ambaye ni foreigner ingawaje anaichimbia Tanzania, got it ?