moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,077
- 2,882
Wananchi wengi wakiwa wanasubiri hali ya maisha iwe nzuri kutoka kwenye serikali waliyoichagua lakini ukiona utawala wenyewe ulivyo ni kama hauamini kwamba umechukua nchi na kuiongoza kwani ukiangalia vizuri utaona bado wanapiga kampeni utadhani miezi ijayo ni uchaguzi ...
kwani wanatoa ahadi nyingi ambazo hawazitekelezi mara nyingi kila kukicha viongozi wengi utawasikia wakitoa ahadi ambazo zinakinzana
Nawakumbusha kuwa nchi mlishachukua itakua vizuri mkikamilisha ahadi mlizotoa kabla ya kutoa ahadi nyingine