Tanzania bado ni nchi nzuri, Ila wenzetu hasa huku Norway Kuna kazi nyingi na pesa ipo

Ni muongo huyu. Norway walifunga mipaka wakati wa Corona. Jana tu wamefungu mipaka na Finland kaskazini.

Huwezi kufika Norway tu kuanza kazi ya ujenzi.

Wamewarudisha raia wa Uzbekistan kwa kufoji vyeti vya construction mwaka ja.

Sasa hivi ndo wa relax lockdown.

Niko hapa 12 years. Siyo rahis kiihivyo mgeni kuja tu mambo yakunyookee.

Ndo namuuliza yupo Norway mji gani? Hapo ndo nitampata

Mmeshapata makaratasi au ndio mnaishi kama digidigi?
 
Mkuu huo muandiko Kuna sehemu umeiba hiyo article. Ngoja nitafute huo Uzi.


Kwanini msiandike vitu vya ukweli. Nyie ndio mnaharibu Jamii forum
 
2. Kazi gani zapatikana huko sana , kwa watu waliosoma, ? Na je ni level gani ya elimu watu hupendelea kuajiri?

Mkuu kwa kifupi sahau kuhusu kupata kazi ya kisomi ulaya. Kwanza kwa usomi gani ulio nao mpaka mzungu akuamini? Wewe ukienda kule uwe tayari kusafisha mitaro, vioo, usafi usafi, kubeba mizigo nk haijalishi una elimu gani.
 
Kabla ya safari yangu ya kuja huku Norway, nioikutana na maneno mengi ambayo sidhani Kama mengine Yana ukweli kwa kuwa Sasa hivi najionea kwa macho.
Watu waache kukatishaa tamaa wenzao ambao wanataka kwenda kuishi au kufanya kazi nchi za nje.ukweli pia Kuna ugumu huku Ila wasikatishwe Sana tamaa, wacha waende wakutane na ugumu huko mbeleni.
Nimejifunza mengi kutoka kwa sisi wabongo, wengi tuna chuki Sana, Mara nyingi hata humu nimejitahidi Sana kujishusha kwenye mambo ya wengine ili kutowakatisha tamaa Ila mwisho unaonekana na wewe huna lolote. Tuache haya mambo.
Baada ya kuja huku kitu pekee ambacho niliona sio Cha kawaida ni kupuuzwa kwenye vitu vingi na hawa watu, pia hakuna Sana Cha kujuana sana kila mtu na mambo yake.
Kazi zipo nyingi na pesa ipo ila uwe unafanya Sana kazi mbalimbali, nahisi hata ni maisha ya Europe yote. Tukiwa huku tufanye kazi tu tuache mengine.
Wiki iliyopita nilipata kazi(kibarua) kwenye kampuni flani hivi ya ujenzi, kazi ilikuwa ngumu maana zile ngumu ndio tunafikiriwa akina sisi japo zina pesa Sana.
Baada ya kufanya vizuri kwenye hako kakibarua, ile kampuni ikapata tena tender ya ukarabati wa sehemu flani hivi airport kule Oslo, nikachukuliwa tena huko. Nimejifunza vingi sana kwa ukweli.
Ushauri wangu tukiwa huku tuweke uaminifu mbele na kufanya kazi kwa bidii bila kuchoka, tuache lawama na ujanja usio wa maana.
Haya maisha nilichagua mwenyewe kwa kutaka kuja kuona huku Kuna nini na maisha gani.
Kazi kazi hakuna kucheka Wala kupiga soga
Mwisho lakini sio kwa umuhimu, huku usilete Sana ushikaji na wabongo utaokutana nao kwa kuwa wengi huwa ni Kama wanakunja hivi bila sababu.
Chini ni picha yangu na matukio mengine
View attachment 1795456View attachment 1795457View attachment 1795458View attachment 1795459
Slutt å villede folk. Hører du?
 
Mleta acha kupotiosha. Kwanza hupo mji gani? Niko hapa Norway miaka 12. Huwezi kufika Norway na kuanza kazi za ujenzi. Halafu hali imebadilika sasa hivi kwa ajili ya corona wewe ni muongo.

Halafu nahisi wewe ndo yule jamaa wa uzi wa ukraine ukatoka ukraine ukaenda norway halafu dogo halafu unawaomba watu hela miliob 7 uwasaidie waende Norway.

Na ni jana tu mpaka wa Norway na finland ulifunguliwa. Norway ilifunga mipaka.

Kwanini mpotoshe watu.

Hali ya kazi Norway siyo kama zamani.

Nijibu tu huko mji gani kwasababu Norway naifahamu yote.
:oops: :oops: :oops:
 
Ni muongo huyu. Norway walifunga mipaka wakati wa Corona. Jana tu wamefungu mipaka na Finland kaskazini.

Huwezi kufika Norway tu kuanza kazi ya ujenzi.

Wamewarudisha raia wa Uzbekistan kwa kufoji vyeti vya construction mwaka ja.

Sasa hivi ndo wa relax lockdown.

Niko hapa 12 years. Siyo rahis kiihivyo mgeni kuja tu mambo yakunyookee.

Ndo namuuliza yupo Norway mji gani? Hapo ndo nitampata
Mr.fao nipe connection hata ya gardener nipambane .. Sielewi hapa bongo nnavyeti vya chini sana japo English fluently

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom