Tanzania bado ni nchi nzuri, Ila wenzetu hasa huku Norway Kuna kazi nyingi na pesa ipo

Kwanini ulileta tena hiyo story yako ya kusadikika?
Unajilalamikisha lakini upo tu, nani alikuuliza kama upo Norway? Unapiga picha cha mitandaoni ulivyokosa haya unalazimisha tukuamini wakati picha inasema ni 'screenshot' hapo ndipo shida ilipoanza,

Wewe kama una shida ya pesa sema uchangiwe, sio unaanza kuishi maisha ya kufake ili ugundue nini sasa.
Dada umemtaftia mdau matatzo.hahahah.unaona sasaaa
 
Kabla ya safari yangu ya kuja huku Norway, nioikutana na maneno mengi ambayo sidhani Kama mengine Yana ukweli kwa kuwa Sasa hivi najionea kwa macho.
Watu waache kukatishaa tamaa wenzao ambao wanataka kwenda kuishi au kufanya kazi nchi za nje.ukweli pia Kuna ugumu huku Ila wasikatishwe Sana tamaa, wacha waende wakutane na ugumu huko mbeleni.
Nimejifunza mengi kutoka kwa sisi wabongo, wengi tuna chuki Sana, Mara nyingi hata humu nimejitahidi Sana kujishusha kwenye mambo ya wengine ili kutowakatisha tamaa Ila mwisho unaonekana na wewe huna lolote. Tuache haya mambo.
Baada ya kuja huku kitu pekee ambacho niliona sio Cha kawaida ni kupuuzwa kwenye vitu vingi na hawa watu, pia hakuna Sana Cha kujuana sana kila mtu na mambo yake.
Kazi zipo nyingi na pesa ipo ila uwe unafanya Sana kazi mbalimbali, nahisi hata ni maisha ya Europe yote. Tukiwa huku tufanye kazi tu tuache mengine.
Wiki iliyopita nilipata kazi(kibarua) kwenye kampuni flani hivi ya ujenzi, kazi ilikuwa ngumu maana zile ngumu ndio tunafikiriwa akina sisi japo zina pesa Sana.
Baada ya kufanya vizuri kwenye hako kakibarua, ile kampuni ikapata tena tender ya ukarabati wa sehemu flani hivi airport kule Oslo, nikachukuliwa tena huko. Nimejifunza vingi sana kwa ukweli.
Ushauri wangu tukiwa huku tuweke uaminifu mbele na kufanya kazi kwa bidii bila kuchoka, tuache lawama na ujanja usio wa maana.
Haya maisha nilichagua mwenyewe kwa kutaka kuja kuona huku Kuna nini na maisha gani.
Kazi kazi hakuna kucheka Wala kupiga soga
Mwisho lakini sio kwa umuhimu, huku usilete Sana ushikaji na wabongo utaokutana nao kwa kuwa wengi huwa ni Kama wanakunja hivi bila sababu.
Chini ni picha yangu na matukio mengine
View attachment 1795456View attachment 1795457View attachment 1795458View attachment 1795459
Mbona picha zote zinasoma screenshot?
Huna picha original uzitume mkuu.????

Au umeweka mtego wako hapa unawinda kitoweo?
 
Mimi ndo ningekuwa wewe...kwa namna unakosolewa aise ningechukua tu selfie video kuanzia geto mpaka job ... Usibishane mkuu weka tu evidence
 
Wala asihangaike na video, achukue karatasi aandike 'Per Diem Norway' kisha aibandike kwenye hiyo nyumba alopost aweke na mkono wake halafu apige picha atume,

Simple and Clear.
 
Mkuu kwa kifupi sahau kuhusu kupata kazi ya kisomi ulaya. Kwanza kwa usomi gani ulio nao mpaka mzungu akuamini? Wewe ukienda kule uwe tayari kusafisha mitaro, vioo, usafi usafi, kubeba mizigo nk haijalishi una elimu gani.
Sawa kabisa. Kwanza usijidai kuonesha Degree yako ya UDSm, Mara SUA au Udom, hawaamini vyuo vyetu na quality of education inatolewa. Labda Kama unataka utumie degree zako kusoma Tena.
 
Back
Top Bottom