Tanzania bado hatujapata Rais Mzalendo na Intellectual

Yani mimi katika maraisi wote, namkubali Kikwete na mwinyi...

Kwanza nyerere ndio amesababisha haya yote

Nyerere ni overrated sana

..... Mfano mzee mwinyi ndio angekuwa raisi wetu wa kwanza, leo tungekuwa mbali sana
Acha kuwaza na kufikiri kwamba maendeleo yako yanaletwa na mtu fulani. Maendeleo yako yanaletwa na wewe mwenyewe.
 
"Uzalendo" (patriotism) ni hali ya mtu kuipenda, kuithamini na kujitoa kwa ajili ya nchi yake. Uzalendo unakaribiana sana na utaifa, ukizidi sana huitwa uzalendo kipofu au uzalendo bubu.

"Intellectual" (mtanisaidia kiswahili chake), is a person who engages in critical thinking, research, and reflection about society, proposes solutions, understand things especially complicated ideas.

Marais tuliowahi kuwa nao ni Nyerere tu aliyekuwa navyo angalau vyote.

Nyerere alikuwa Mzalendo na angalau alikuwa Intellectual.
Mwinyi aliipenda nchi ila hakuwa mzalendo wala hakuwa Intellectual. Tofautisha kuipenda nchi, kupenda watu wake na Uzalendo.
Mkapa alikuwa Intellectual lakini hakuwa Mzalendo.
Kikwete hakuwa Mzalendo lakini alikuwa mjanja half intellectual.
Magufuli ni Mzalendo lakini si Intellectual.

Nyerere alikuwa na uwezo wa kulinda maliasili za taifa alikuwa na uwezo wa kuwaambia wawekezaji wayaache madini hayaozi, alikuwa na mapenzi na nchi yake na watu wake alikuwa na uwezo kiakili na alikuwa haogopi challenges hata UN walitambua hilo.

Mwinyi hakuna na malengo yeyoye ya muda mrefu kwa nchi zaidi ya kusolve matatizo ya kipindi kifupi (biashara huria), hakuwa na uzalendo wala uwezo kiakili (critical thinking), alikuwa muoga wa challenges, alikuwa dhaifu kiuongozi.

Mkapa alikuwa na uwezo kiakili (critical thinker), hakuogopa challenges, lkn uwezo wake haukutumika kwa faida ya kulisaidia taifa (NBC case), alivunja misingi mingi ya kitaifa aliyoikuta, aligawa maliasili nyingi za taifa kwa wageni, hakuwa mzalendo.

Kikwete alipenda watu wake wa karibu (inner circle) lkn si nchi, half patriotism, hakupenda challenges ingawa hakuzikimbia (democracy case), hakujali sana maliasili za nchi kupotea iwe kwa kuibiwa au kwa mikataba feki, mengi alifanya kwa ajili yake na machache kwa ajili ya taifa (half intellectual).

Magufuli ni mzalendo halisi anaipenda nchi yake lakini siyo intellectual, anaogopa challenges, anataka kulinda maliasili za taifa lkn hana uwezo (hataki kujijengea uwezo) wa kugundua tricks za mabeberu, anatumia nguvu instead, (Acacia case), kwa kutambua hilo wajanja wanatumia uzalendo bubu kwa maslahi yao.

Ili tuendelee Tanzania tunataka Rais awe na vyote, angalau Nyerere alionekana kuwa navyo, tunataka rais kama Putin, rais kama Kagame, Abiy Ahmed ambao ni patriotic na intellectuals.

Kwa utajiri tulionao siku Tanzania ikipata Rais mzalendo na intellectual hakuna nchi Afrika Mashariki na Kusini itakayotupata kwa maendeleo na uchumi, itakuwa nchi ya kulinganishwa na SA.

Utakuwa mtanzania mwenye asili ya kitursi ee?
 
Yeye ndiye alijiita hivyo
Ila nyie ndiyo mnakuza na kuweka maana yenu ya kichukichuki. Anayofanya hakika si ya kwake ni ya wote. Jiwe kwa wakristu hata Yesu alijiita akimaanisha kitu kisichoonekana umhimu wake hadi werevu wenye uelewa tofauti (waashi) watakapoona.
 
Yani mimi katika maraisi wote, namkubali Kikwete na mwinyi...

Kwanza nyerere ndio amesababisha haya yote

Nyerere ni overrated sana

..... Mfano mzee mwinyi ndio angekuwa raisi wetu wa kwanza, leo tungekuwa mbali sana
Hujui wewe, kuna loopholes nyingi sana kwenye sera za mwinyi kwa nchi inayozaliwa
 
Namuona Lissu kama Kiongozi Msomi zaidi na Elimu imemkomboa anapenda sana Field yake asiyekuwa muoga mwenye misimamo, na anayependa sana majadiliano,ni mzuri sana kwenye Hotuba na Midahalo

Mtu wa watu vitabu,Historia, Utafiti, ,Kufikiri kwa marefu na Mapana Kutumia akili kubwa na Technique hata awapo Mahakamani amedhihirisha uwezo wake mkubwa.

Sj mtu anahekubali wananchi hasa wa chini ku
 
Mkuu habari ya huko CAPO DELGADO?
 
"Uzalendo" (patriotism) ni hali ya mtu kuipenda, kuithamini na kujitoa kwa ajili ya nchi yake. Uzalendo unakaribiana sana na utaifa, ukizidi sana huitwa uzalendo kipofu au uzalendo bubu.

"Intellectual" (mtanisaidia kiswahili chake), is a person who engages in critical thinking, research, and reflection about society, proposes solutions, understand things especially complicated ideas.

Marais tuliowahi kuwa nao ni Nyerere tu aliyekuwa navyo angalau vyote.

Nyerere alikuwa Mzalendo na angalau alikuwa Intellectual. Mwinyi aliipenda nchi ila hakuwa mzalendo wala hakuwa Intellectual. Tofautisha kuipenda nchi, kupenda watu wake na Uzalendo. Mkapa alikuwa Intellectual lakini hakuwa Mzalendo. Kikwete hakuwa Mzalendo lakini alikuwa mjanja half intellectual. Magufuli ni Mzalendo lakini si Intellectual.

Nyerere alikuwa na uwezo wa kulinda maliasili za taifa alikuwa na uwezo wa kuwaambia wawekezaji wayaache madini hayaozi, alikuwa na mapenzi na nchi yake na watu wake alikuwa na uwezo kiakili na alikuwa haogopi challenges hata UN walitambua hilo.

Mwinyi hakuwa na malengo yeyoye ya muda mrefu kwa nchi zaidi ya kusolve matatizo ya kipindi kifupi (biashara huria), hakuwa na uzalendo wala uwezo kiakili (critical thinking), alikuwa muoga wa challenges, alikuwa dhaifu kiuongozi.

Mkapa alikuwa na uwezo kiakili (critical thinker), hakuogopa challenges, lkn uwezo wake haukutumika kwa faida ya kulisaidia taifa (NBC case), alivunja misingi mingi ya kitaifa aliyoikuta, aligawa maliasili nyingi za taifa kwa wageni, hakuwa mzalendo.

Kikwete alipenda watu wake wa karibu (inner circle) lkn si nchi, half patriotism, hakupenda challenges ingawa hakuzikimbia (democracy case), hakujali sana maliasili za nchi kupotea iwe kwa kuibiwa au kwa mikataba feki, mengi alifanya kwa ajili yake na machache kwa ajili ya taifa (half intellectual).

Magufuli ni mzalendo halisi anaipenda nchi yake lakini siyo intellectual, hana critical thinking yeyote anaogopa challenges, anataka kulinda maliasili za taifa lkn hana uwezo (hataki kujijengea uwezo) wa kugundua tricks za mabeberu, anatumia nguvu instead, (Acacia case), kwa kutambua hilo wajanja wanatumia uzalendo bubu kwa maslahi yao.

Ili tuendelee Tanzania tunataka Rais awe na vyote, angalau Nyerere alionekana kuwa navyo, tunataka rais kama Putin, rais kama Kagame, Abiy Ahmed ambao ni patriotic na intellectuals.

Kwa utajiri tulionao siku Tanzania ikipata Rais mzalendo na intellectual hakuna nchi Afrika Mashariki na Kusini itakayotupata kwa maendeleo na uchumi, itakuwa nchi ya kulinganishwa na SA.

Uchambuzi mziri nimependa hiyo ya half intellectual.Umemchambua kikwete vizuri sana ni kweli hakuwa mzalendo wa nchi na aliwajali wale inner circle yake.Hao kina Asas maziwa,GSM na marafiki wa Ridhiwani na washikaji wake.Na alikuwa wa kuacha watu wajiibie watakavyo.
Hivi kati ya wabunge tulionao nani anaweza kuwa na vigezo vyote viwili na akafaa kuwa Rais mwaka 2020
Kwangu namuoona 1.Majaliwa 2.Philip mpango, Prof Kabudi na Doto Biteko
 
Namuona Lissu kama Kiongozi Msomi zaidi na Elimu imemkomboa anapenda sana Field yake asiyekuwa muoga mwenye misimamo, na anayependa sana majadiliano,ni mzuri sana kwenye Hotuba na Midahalo

Mtu wa watu vitabu,Historia, Utafiti, ,Kufikiri kwa marefu na Mapana Kutumia akili kubwa na Technique hata awapo Mahakamani amedhihirisha uwezo wake mkubwa.

Sj mtu anahekubali wananchi hasa wa chini ku
Shida ya Lissu sio mzalendo.Hamjui tu
 
hao unaowasema walikuwa na roho ngumu na bado wengine ni wagumu haswa na ndo maana unaona maendeleo, tatizo leo hii mtu akifanya jambo kwa maslahi ya taifa tunakuwa na midomo sana na tunalia haswa, miaka ya nyuma watu walipotea sana na haikuwahi julikana walipotelea wapi na kutokana na uhaba wa vyombo vya porojo habari hazikuenea ka hivi leo, yani ni ka vile kupotea kwa alibino miaka ile,

Mtu ka kagame si mtu wa mchezo mchezo bana anafanya lolote ilimradi nchi yake iwe vizuri, je tuko tayari kuwapa ushirikiano iwapo watakuwa ka hao viongovi ulowataja?
Mkuu huyu anamsifia Kagame hajui alivyo yule yupo raxhi kuua lakini mipango yake iendelee .
Na hakuna taasisi kubwa ambayo haiu au kunyamazisha watu.
Iwe ya Dini, Siasa,Serikali lazima mambo kama hayo yawepo tu. Huwezi kwepa.
 
Back
Top Bottom