Tanzania announces new, tough rules for Foreign Press

Naona JF nao wana-censorship kubwa sana ya post tunazoweka hapa. Kwa kweli dikteta amefanikiwa. JF hawalali. Post ikiwekwa, imedakwa na kuondolewa!
 
Anatapatapa kwa lipi? Utulie akupangie anavyotaka.
Magu anatapatapa kwa kuhangaika kutisha na kudhibiti vyombo vya habari.

Lengo? Kuzuia wanaoeneza madhaifu yake. Vyombo vyote vinavyomsifia, hata vikivunja sheria, haviguswi. Vyombo vyooote vinavyopigwa faini au kufungiwa, ujue vimetangaza kile ambacho hapendi kitangazwe.

Na haishangazi. Magu alizoea vya kunyonga kwenye chaguzi za marudio. Alifanya umafia zaidi kwenye uchaguzi wa serekali za mitaa mwaka jana. Kaiahidi dunia uchaguzi wa 2020 utakuwa huru na wa haki . Tayari pumzi inamuishia wakati hata kipenga cha kampeni hakijapulizwa.

Tayari anahaha kama kuku wa kienyeji anataka kutaga yai
 
Kumbe muda wote huo (maana ni muda mrefu kweli nadhani tangu awamu za mwanzo) tumekuwa tukisikia matangazo ya BBC, DW, VOA, etc bila vibali?
Kinachofanyika Ni redio ya nyumbani ku tune in masafa ya BBC,halafu wanaunga kwa wasikilizaji wao
Waambieni wanunue masafa yao,waache kitonga
 
Magu anatapatapa kwa kuhangaika kutisha na kudhibiti vyombo vya habari.

Lengo? Kuzuia wanaoeneza madhaifu yake. Vyombo vyote vinavyomsifia, hata vikivunja sheria, haviguswi. Vyombo vyooote vinavyopigwa faini au kufungiwa, ujue vimetangaza kile ambacho hapendi kitangazwe.

Na haishangazi. Magu alizoea vya kunyonga kwenye chaguzi za marudio. Alifanya umafia zaidi kwenye uchaguzi wa serekali za mitaa mwaka jana. Kaiahidi dunia uchaguzi wa 2020 utakuwa huru na wa haki . Tayari pumzi inamuishia wakati hata kipenga cha kampeni hakijapulizwa.

Tayari anahaha kama kuku wa kienyeji anataka kutaga yai
Mwenye uwezo wa kukuzuia kila ufanyalo kakuzidi. Nilitegemea akizuia vyombo ninyi mviamuru kuwatangaza. Kama huwezi kuviamuru wewe ni bwana mdogo.
 
By Kai Dambach

Under a new law, reporters in Tanzania will face stricter controls and media outlets would need permission to broadcast foreign content. DW has warned against "a worrying trend towards restrictions on press freedom."

The Tanzanian government has formally banned all local media outlets from broadcasting foreign content without official permission.

Foreign media working with local journalists will have to be accompanied by a government official throughout the duration of their reporting.

The changes will affect partner broadcasters of several international media outlets, including DW.

"This is a clumsy attempt to suppress critical voices before the elections in Tanzania," said DW chief Peter Limbourg, warning that it was hard to counter "this far-reaching form of state censorship."

"We support our partner broadcasters in Tanzania and together we will find ways to keep the population well informed, for example through the increased use of social media," Limbourg added.

Later, a representative of Tanzanian regulatory body TCRA downplayed the move, saying that the authorties "have not banned any foreign media outlets" from broadcasting the through the local stations.

"What has been directed through that new regulation is to ensure that the agreements between our local broadcasting stations and foreign media outlets are submitted to the authority within seven days. So that we can keep records which will be a reference document of the agreement made by the two parts," TCRA's Andrew Kisaka told DW. "That is all."

Tanzania announces new, tough rules for foreign press | DW | 11.08.2020
Tanzania is fast becoming a beautiful country with stupid leadership, if it is not there yet!
 
Kinachofanyika Ni redio ya nyumbani ku tune in masafa ya BBC,halafu wanaunga kwa wasikilizaji wao
Waambieni wanunue masafa yao,waache kitonga
Mimi nitawaambia nini wakati sijui kitu? Wewe ndiyo mtu sahihi wa kuwaambia kwa vile unajua wanachokifanya.
 
Back
Top Bottom