Tanzania Angekuwepo Lucky Dube, Mrisho Mpoto. CCM INGEJIFICHA WAPI? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania Angekuwepo Lucky Dube, Mrisho Mpoto. CCM INGEJIFICHA WAPI?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jasho la Damu, Jun 8, 2011.

 1. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Look in the eyes of the Homeless,
  Tell me what u see in the eyes of a jobless man, tell me what u see
  What about the eyes of a Prisoner
  Now u have seen it all.
  It is time to make up your mind
  Dont try to hide it coz i can see it all in your face.
  It is the questions that i ask myself everytime 'Do u wanna be A well fed slave or a hungry freeman'
  What is the point in being free
  When u cant get job.
  When u cant get food.
  What is the point in going out to work, when others can get for free
  .
   
 2. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kwa Lucky Dube kidoogo naweza kukuelewa lakini si huyo Mrisho Mpoto
  ambaye kishanunuliwa tena kwa bei chee. Siku hizi hakuna cha Salamu mjomba
  wala nini
   
 3. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Dah kaka, kama mpoto naye kanunuliwa basi Tz hatuna mwanamuziki mwanamageuzi wote wako upande magamba.
   
 4. Kipilipili

  Kipilipili JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2011
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 2,204
  Likes Received: 477
  Trophy Points: 180
  Tujenge hoja,tutoe ushahidi.kashfa za rejareja ndizo zinazotufanya tusipige hatua wa TZ.Km mpoto kanunuliwa,toa ushahidi co kumpaka matope.c semi hajanunuliwa au kanunuliwa ila nukta yng muhmu ni kuwa kuongea kibubusa km hapo juu ni kutomtendea haki mpoto.au nawe ni"mwanamtandao" wa mrengo fulan?.tumuhukumu mpoto kwa kazi zake za sanaa na c kwa maisha yke bnafsi.mpoto ni mwanamapinduz aliyewatoa waTZ weng kwenye uvulivuli na mawazo mgando yenye fikra mfu na zilizovizwa.tujenge tabia ya ku"apreciate" kaz za watu na ht watu wnywe pale watendapo yenye maslah na jamii.
  Labda cna kumbukumbu njema.niulize tu,hv mpoto alipigia kampeni chama gani wkt wa uchaguz km ambavyo wasanii wngne walivyonunuliwa na kuvishwa fulana za rang ya bustan?
   
 5. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Usikimbilie kulaumu tu bila kujua aliyetoa hoja hiyo ni nani na yuko vipi na Mpoto.
  Nina ushahidi kuwa Mpoto ni wa JK hivi sasa hata kama siwezi kuuweka hapa JF.
  Kama hutaki sikulazimishi
   
 6. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Duh kweli wakuu mnaitendea haki JF. Tupunguze hasira na ukali wa maneno. Haya tupeni ukweli juu shujaa wetu MPOTO aliyeanza kufifia kama umeme wa Dowans.
   
Loading...