Ibrah
JF-Expert Member
- Mar 22, 2007
- 2,729
- 528
Porojo unazo wewAcha porojo,
Tatizo ni kuwa huelewi geo-politics za EAC, wanaoitaka sana hii reli na bandari mpya si Tanzania bali ni Uganda, ...wanataka njia iliyo-SALAMA .
.. kunapokuwa na uchaguzi Kenya huwa wanafanya vurugu hata kung'oa reli na kuzuia usafirishaji wa mizigo kwa Uganda ...
e unayeamini kuwa TZ hatutaingia gharama kwenye huo
mradi, gharama ziko wazi sana.
Waamini Kenya watapigana kila uchaguzi na Tz waendelee kuchekeana kila uchaguzi?