Ethiopia wana invest 24/7 kwenye infrastucter kama anavyofanya Magufuli kwa sasa. Muda wowote phase 3 ya SGR itatanganzwa pia viwanda vinajengwa kwa kasi nchini Tanzania kama Ethiopia. Mikakati yakimaendeleo iko vizuri chini ya MaguEthiopia iko juu sana, kwa ukuaji huo itafika mbali sana