Kwani hizo ndege huwa zinafanya shughuli zingine mbali na maonyesho ya sikukuu za kitaifa? Nijuzeni tafadhali.Usihofu mkuu,ni vimazoezi vyepesi kujiandaa na siku ya uhuru na usipende kuangalia juu tunapopita hapo kwako.
Man umedanganya umma. Zinazopita huwa ni MIG -21/ F-7. And hakuna ndege inaitwa BM-52 ....mkuu' tupo kwenye kipindi cha MAANDALIZI YA SIKUU YA 9DEC, ni vizoezi vidogo vidogo vya kivita..., tunatumia BM52, ..., akaKANDEGE ka zamani sana, ndiyo maana kanapiga kelele..., ila baadaye tutakuw tunatumia aina ya B-2 "hii haina kelele.. ila garama ya kuiendesha iko juu"