Tanzania airforce what is wrong?

mchlmmnl2

Senior Member
Jul 13, 2013
168
53
Jaman hawa wanajeshi wa jeshi la anga wanatutisha kila siku mazoezi hapa mjini(Dar) bila taarifa mbona mnatushtua kiasi hicho ndege zenyewe zinapita karibu sana na surface toeni taarifa basi tujue mpo zoezi mioyo inaturuka.
 
Usihofu mkuu,ni vimazoezi vyepesi kujiandaa na siku ya uhuru na usipende kuangalia juu tunapopita hapo kwako.
 
Hivi wewe ni Mgeni hapa Jerusalemu hata hujui yanayotokea???? Ndege hizo zipo kwenye mazoezikwa ajili ya sherehe za kuadhimisha siku ya uhuru wa Tanganyika tarehe 9 Disemba. Una la zaidi?? Au wewe sio Mtz????
 
Usihofu mkuu,ni vimazoezi vyepesi kujiandaa na siku ya uhuru na usipende kuangalia juu tunapopita hapo kwako.
Kwani hizo ndege huwa zinafanya shughuli zingine mbali na maonyesho ya sikukuu za kitaifa? Nijuzeni tafadhali.
 
...mkuu' tupo kwenye kipindi cha MAANDALIZI YA SIKUU YA 9DEC, ni vizoezi vidogo vidogo vya kivita..., tunatumia BM52, ..., akaKANDEGE ka zamani sana, ndiyo maana kanapiga kelele..., ila baadaye tutakuw tunatumia aina ya B-2 "hii haina kelele.. ila garama ya kuiendesha iko juu"
 
Man umedanganya umma. Zinazopita huwa ni MIG -21/ F-7. And hakuna ndege inaitwa BM-52 .
Nothrop B-2 Ni stealth bomber. Kwa uchum wa mchi yetu hatuwezi miliki. Dunia nzima ziko 21 tu... na america ndio wanaotengeneza.
Ili kuinunua lazima Bunge la senate lipitishe ...ndio uweze kununua.
 
Back
Top Bottom