Tanzania 1 - Cameroon 2

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,890
Samwel Etoo amesha tuvunja nguvu wazee sasa ni dakika ya 22 kipindi cha pili .
 
naona watanzania wamesawazisha kwa hiyo ni moja moja, ni dakika ya 34 kipindi cha pili
 
hivi kule ukumbi wa spoti hupajui?
Nafikiri amekurupuka maana ni mjumbe wa zamani sana hapa JF ,ila magoli yetu ni mawili maana ukifunga ugenini unaisabiwa mawili ,nadhani mlikuwa mmesahau Wakameruni wanaisabiwa wamesawazisha.Kwani kama ingelikuwa moja moja basi wangelipoteza mechi ,ngoja tusubiri fifa sijui wataamua nini ?
 
Bwana Mwiba sio hivyo!!! Magoli yanahesabiwa hivyo kama ni mtoano... lakini hii ni ligi! Na zaidi watahesabu goli la ugenini kuwa mawili uwapo mna idadi ya magoli sawa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom