kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,703
- 20,606
Kibu ndiyo kafungisha au?Kocha alibugi sana kuanza na Kibu
Kibu ndiyo kafungisha au?Kocha alibugi sana kuanza na Kibu
duh!!!Magufuli alitaka kukabidhi Taifa Stars kwa JWTZ watu tukamuona mjinga, sasa naona umhimu wa kuyapitia mawazo yake.
Huyu kocha asipotimuliwa sijui
Ole Gunna🤣🤣Ili aletwe Zidane ?
Free agent, hana timu kwa sasa.Huyu kipa wa DRC anacheza ligi gani wakulungwa..!?
0-2Kwani ni ngapi kwa ngapi?
kocha ni mzuri ila michezaji ndo hovyo.Huyu kocha asipotimuliwa sijui
goli la mimba labda!Unataka tupate gori la nini sasa
🤣🤣Ole Gunna
Hahahaa akiwa na kundi lipi mkuu? Matchatcha au loketo?Jana Diblo Dibala akaenda hadi kutazama mazoezi lakini wapiii
Sala zimegoma 🤣🤣🤣Mmma nkamu