Tanzania 0-3 DR Congo | 2022 FIFA WC Qualifiers | Benjamin Mkapa Stadium

Nchi ambayo kuna raia wake wanateswa kwa sababu ya kuwa na mawazo tofauti na watawalawalio iba kura za kiingia madarakani KAMWE HAITAKUWA NA FURAHA.
 
1636641215042.png
 
Yaan tangia Utopolo alivyo tia NUKSI ktk kiwanja cha BWM (Lupaso) basi mambo sio mambo siku izi ktk kile kiwanja. Si mnakumbuka Utopolo walipigwa na ile timu ya zambia ! Basi vipigo vimekuwa vikifululiza pale. ....itabidi waambiwe utopolo waende waende wakatoe tunguri walizo zizika pale
 
Kwani hao Congo hawajui kwetu tulichangishana michango ili tuwafunge?
 
Back
Top Bottom