Tanzani ifuate misingi ya haki na sheria/tuepuke undugu na ubinafsi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzani ifuate misingi ya haki na sheria/tuepuke undugu na ubinafsi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mdau kbt, Aug 20, 2012.

 1. m

  mdau kbt JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 403
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  IKIWA NI TUKIO LA KUSIKITISHA NA KUUMIZA KWA VIJANA WALIHITIMU VIDATO.tangazo la sensa ya watu na makazi lililobandikwa katika ofisi ya kata lilionekana na sifa za makarani wawe na elimu kuanzia kidato cha nne na kidato cha sita lakini cha kushangaza na cha kuuzunisha hadi watu wa std 7 wamepata nafasi ya ukarani na mbaya zaid baadhi ya kidato cha sita kukosa nafasi na kupata std7 kidato cha nne wenye leaving na kidato cha sita wachache wamepata na wengiwao wakijikuta wapo kitaa.je hili tangazo hizi sifa zilikua zinapamba ukuta?
   
Loading...