Tanzagiza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzagiza

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by bigbumper, Jul 23, 2011.

 1. b

  bigbumper Member

  #1
  Jul 23, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi ndo tanzagiza nchi yakikuda africa nzima
   
 2. khayanda

  khayanda JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 250
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  WATANZANIA BILA UMEME INAWEZEKANA, LAKINI MAENDELEO YA WATANZANIA NA HAKO KAWIMBO KAHOVYO WANAKOTUKOGA NAKO KUWA MAENDELEO YAJA KWA ARI ZAIDI KASI ZAIDI NA NGUVU ZAIDI, WAMETUDANGANYA
  na MUNGU anawaona halafu amewaacha waendelee kutudanganya. Wanapima uwepo wa MUNGU nini?
  Maendeleo ya Tanzania bila UMEME hayawezekani kamwe.
  Hata mahitimisho ya bajeti kuna siku mjumbe aliomba mshumaa uwashwe, wanasahau hata viberiti na mishumaa vinategemea nishati hiyohiyo ili vitengenezwe, Pu47~~~~zao hawa sijui akili hiyo wamegawiwa na nani
  Sasa wanasemana wenyewe kuwa
  WNEING WAFIKIRI KWA KUTUMIA MATUMBO BADALA YA VICHWA
  MUNGU OKOA NCHI HII MAANA INAANGAMIA KABISA, TUNAKOPELEKWA SIKO HUKO
   
Loading...