Tanzagiza tutadharaulika hadi lini!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzagiza tutadharaulika hadi lini!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BenMcAfee, Aug 29, 2011.

 1. B

  BenMcAfee Member

  #1
  Aug 29, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inawezekana vp Balozi kujiamulia kubadilisha bendera ya nchi ya libya na kuweka bendera ya NTC (Waasi) bila kufuata kanuni!!!bila kufuata taratibu husika
  Huyu balozi wa libya hapa nchini nae ni miongoni mwa walokuwa wakimpinga Ghadaff ama analinda kibarua kisiote nyasi???? Kwann ashushe bendera ya nchi na kuweka ya waasi!
   
Loading...