tanzagiza na elimu yetu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tanzagiza na elimu yetu.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by agala, Sep 17, 2011.

 1. agala

  agala Member

  #1
  Sep 17, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Imezoeleka kwamba mzazi anakwambia nenda shule faulu kwa kupata marks nzuri ili huende chuo upate kazi nzuri ili uwe na maisha
  mazuri kwa sasa dunia ya .com ni tofauti inatakiwa watoto waambiwe nendeni shule upate elimu utakayoitumia faulu nenda chuo patakazi jiandae kwa kumiliki mradi wako hiv ndo tutafika watanzania. pitia hii tovuti www.tanzaniakwetu.com huone watanzania walivyo fika kwakutumia hiyo rule ya pili
   
 2. Profee Essoree

  Profee Essoree Member

  #2
  Sep 17, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ebwasnaa hiyo site nimeikubali kaka,watu gani hao au imetafsiriwa!
   
 3. agala

  agala Member

  #3
  Sep 17, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ninamaana ya kuwa ni sisi wenyewe tumefanikisha huu mpango hakuna copy and paste lakini ukitumia rule ya pili okey profee!
   
 4. rbsharia

  rbsharia Member

  #4
  Sep 17, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ebwana big up wakubwa, hivyo ndivyo maendeleo yanavyokuja. Vipi mna communication hawa washkaji wanaojiita Jigambe Technologies Limited?
   
 5. rbsharia

  rbsharia Member

  #5
  Sep 17, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  miradi ni muhimu sana, na hapo ndipo tunaweza kuyaweza maisha na kuacha na wizi na ufisadi unaoyumbisha uchumu wa nchi yetu hadi sasa hata pesa ya kuwasomesha wananchi wake inakosa?
  Tujiajiri jama.
  Elimu + Ubunifu = Mradi wa kijitegemea.
  TanzaniaKwetu mpo juu.
   
 6. agala

  agala Member

  #6
  Sep 17, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
Loading...