Tanu Okongo

Nkungulume

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
2,988
1,209
Namutafuta rafiki yangu anayeitwa Tanu Okongo tuliachana naye baada ya kumaliza darasa 7 katika shule ya msingi Mihayo Tabora mwaka 1974.

Toka kipindi hicho huyu jamaa sijaonana naye tena kama yuko hai tafadhali naomba ani PM
 
Duh!!, shule ya msingi!!, Inaonekana alikuwa best yako sana basi.
 
Namutafuta rafiki yangu anayeitwa Tanu Okongo tuliachana naye baada ya kumaliza darasa 7 katika shule ya msingi Mihayo Tabora mwaka 1974.

Toka kipindi hicho huyu jamaa sijaonana naye tena kama yuko hai tafadhali naomba ani PM
Utakuwa kikongwe kama @FaizaFoxy
 
Kule kwao wanajulikana kwa koo zao e.g. Mkiseru, Mganjo, Mtegi, Mturi, Mkowaki,Mkamageta, Mgire etc jaribu kukumbuka ni mtu wa wapi ???????!!
 
Namutafuta rafiki yangu anayeitwa Tanu Okongo tuliachana naye baada ya kumaliza darasa 7 katika shule ya msingi Mihayo Tabora mwaka 1974.

Toka kipindi hicho huyu jamaa sijaonana naye tena kama yuko hai tafadhali naomba ani PM
aisee..! yan uyo yaonekana alikuw zaid ya rafiki kwa kweli tok 74 until now, you just remember him!!!! naamin kama bado yupo ipo siku mtaonana tu.
 
Ni kweli alikuwa zaidi ya rafiki tulikuwa darasa moja tunakaa deski moja na mambo tulikuwa tufanya pamoja
 
Back
Top Bottom