TANROADS wakiri kutoa kibali cha carwash-sakata la ubomoaji Kimara Bucha

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
46,341
2,000
Kwa walioona Jana clouds fm

Waifwatilia habari za kuvunjiwa KajaNa mmoja hapa Kimara bucha ambae amelipia Kibali tanroads

Tulileta hapahabari hivimajuzi jamiiforums

Wapo waliodai amepigwa waliodai hajapewa Kibalii Jana clouds FM walimfwata NA aliwaonyesha vibali NA peas alizotoa

Nimesema mh waziri huu upumbavuu.ufwatilie aiingii akilini mtu alipe.milion sita tanroads kwakibali.cha car wash


Meneja wa TANROADS NA MSEMAJI WALIGOMA KUPIGWA VIDEO WALA KUREKODIWA WAKAELEZA SISI TUMEMPA KIBALI CHA CAR WASH TU NDIO MAANA ATUKUMVUNJIA

AKIONGEA KWAHUZUNI KAKA MHUSIKA AMESEMA ANAKIBALI CHA MATUMIZI YA OPEN SPACE

HAKUNA SEHEMU AMEANDIKIWA ATUMIE NINI AMA AJENGE NINI.. AKASEMA MWISHO WA KIBALI WAMESHAURI ASIJENGE PERMANENT BUILDINGS NA NDIO MAANA HATA ILE BAR ALIJENGA KWA MABATI

NA HATA SEHEMU YA KUUZIA MAKOCHI AMEJENGA NA MITI AMBAYO N RAHISI KUIONDOA SAA YOYOTE

AKAULIZA KAMA SIO FITINA KWANINI AWAKUGUSA CAR WASH...

WAKATI HUOHUOO

LEOOO HIII UJENZI WA SEHEMU YA MAKOCHI UMENDEELEA HUKU HAKUNA TANROADS WALA KILOROADS WALIOKUJA KUGUSA....

NASEMA HIVI WAZIRI AFWATILIE UKWELI HALISI UJULIKANE KAMA AMEKOSEA MTU MNAOGOPA NINI KUSEMA UKWELI NA KUREKODIWA

WAPIGAJI WAPIGAJI WAPIGAJI

MH RAISI NUSA TANROADS DAR AIBUU
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom