TANROADS na viongozi wa mizani hawajui hili?

kikahe

JF-Expert Member
May 23, 2009
1,350
282
Hello Great thnkers?
Nimekuwa nikijiuliza tabia ya mabasi yakifika kwenye MIZANI wanawaambia abiria washuke mpaka gari lipite na kurudi tena, au kusogea mbele gari ipite kwenye mizani kwanza. Je tanroads hawajui huu mchezo?
Nimewasilisha swali ninalojiuliza kila siku nikipita, Mingoyo,Njia panda Himo, Mikumi, Nk.
 
zamani ndo ilikuwa issue hayo mambo siku izi yamepungua kama wapo wanaoyaendekeza basi watakuwa wana hila na lami zetu
 
wanajuwa ila ndo hivyo tena kama mzee anapokea hadi surti itakuwa hao?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom