Enzymes
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 4,332
- 3,008
Mhe: Rais, Dr. John Pombe Joseph Magufuli,
Pole kwa kujitahidi kukusanya Mapato na Kubana matumizi ya ovyo ovyo!!
Wakati ukihangaika hivyo, Wizara yako ya Zamani , yenye jina lilokuweka hapa kitini huku Mwanza imegeuka Mchwa!!
Kwa sasa kuna ujenzi wa mitaro barabara ya Mwanza- Buhongwa. Hii barabara ni ya njia 2 tu na ndio barabra kuu jijini Mwz, ndio barabara iingizayo mabasi na magari ya kila aina toka Dar na mikoani kote. Cha ajabu maeneo ya Butimba Corner hadi VOIL kuna ujenzi mitaro unaendelea ikiwa tiyari kuna msongamano wa magari kila siku mida ya asubuhi na jioni barabara hii.
Lengo la mchwa hawa wakishirikiana kwa Karibu na Mchwa wa WILSON KABWE (Halmashauri ya Jiji la Mwanza idara ya Mipango miji) ni kuwa wanjenge leo Mitaro kwa pesa kubwa , baada ya Budget Mwaka huu (2016) au mwaka kesho (2017) wabomoe eti wanapanua barabara.!! JAMENI NASEMA HAPANA, UFISADI HUU UMETOSHA, TUHURUMIENI WANANCHI!!!!!
Hivi ni kwanini hicho kidogo msipanue hata stendi za daladala, mf pale Mkuyuni, TANESCO, PEPSI? Budget kubwa ikipatikana mjenge barabara yenye njia hata 8. Haraka ya nn ya mitaro wakati ndani ya miaka 2 mtapaswa kuibomoa tena?
Magufuli TUMBUA hawa. Kamekuwa ka style kao ka kuhujumu miradi hapa Mwanza. Hata STAND YA NYEGEZI ni huu huu usanii wamejenga stendi ndogo kwa hela kubwa ili baadae waje Wajenge tena kubwa Buhongwa, wapige tena hela upya!!
Kwanini msibuni barabara/njia mpya hapa mjini? mmerundikana tu Maofisini wakati JAM ya Dar ikihamia Mwanza!!