TANROADS mkishachora hivi nini hatima yake?

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,169
2,000
Wakuu, nimepita sehemu na kukuta ukuta wa bati umeandikwa hivi, sasa nikajiuliza nani anapaswa kutekeleza/hakikisha amri hii ya bomoa inatekelezwa?

Kama aliyejenga ndo anapaswa kubomoa na habomoi nini kinafuata?

Nawaza kama TANROADS wakiisha andika hivo basi wanasepa basi haina haja kwani huko ni kujikosha tu ilhali hakuna hatua yoyote wanayoichukua.

IMG_20210119_173216.jpg
 

Smart911

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
52,337
2,000
Kuna siku unapewa za kubomoa au kuondoa, kuna makumbusho unaletewa, kama bado wanakuja kuondoa au kuvunja wenyewe alafu unaletewa gharama...

Cc: mahondaw
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom