TANROADS kutumia zaidi ya bilioni 600 bila idhini ya Bunge, ni jambo litalopita kama yalivyopita mengine mengi

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,371
Eti leo Kamati ya Bunge ya Kusimamia Mashirika ya Umma(PAC), imekuja na taarifa kuwa TANROADS wametumia zaidi ya shilingi bilion 600 bila ya idhini ya Bunge na kwamba taarifa ya TANROADS inatia mashaka (kuna uongo).

Binafsi najiuliza katika hili ni nini cha ajabu?

Je,taarifa za aina hii zimeshatolewa mara ngapi na Bunge hili limewahi kuchukua hatua gani kwa wanaofanya matumizi bila idhini ya Bunge?

Hata hili la TANROADS kutumia zaidi ya bilioni 600 bila idhini ya Bunge nalo litapita tu kama yalivyopita mengine.

Nimeyakumbuka maneno ya Prof.Asaad yaliyopekea akaitwa kujieleza mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge.
 
Hao Tanroads usiwalaumu kwanza. Uliza hayo matumiz ya b.600 yamefanyika kipindi gani?Yule aliejiita mzalendo alikuwepo?kama alkuwepo bas hela alpga yeye,maana hio taasis ilikua haina cha kusema..bos wao yule alikua alisifiwa bure tu ili watu wpige hela
 
Kama wametumia kujenga barabara na hizo barabara zinatumiwa na watanzania hamna ubaya wowote, gaidi Mbowe alikula billion 7 za michango ya wabunge na hakufanywa chochote.
 
Daahhhh.......ila kuna Watanzania wenzetu hii nchi wanaifaidi bila Jasho. Hivi wakiona habari za matatizo kama barabara kushindwa kupitika wakati wa masika, watu kukosa maji safi na kutumia maji pamoja na mifugo, shida zilizopo kwenye vituo vya afya, ubovu wa miundombinu ya elimu ------ huwa wanajisikiaje? Wanafurahi, wanacheka au wanasikitika?, huku wakifahamu bila shaka kabisa wao ni sehemu ya hayo matatizo kuwepo.
 
Swala ni zimetumika bila idhini zimetumika kufanya nn?
Waweke taarifa kamili, zilitumika bila idhini, zilitumika kufanya nn? In construction kuna miradi inaenda over the budget na megine watu analipa penalt za ucheleweshaji malipo. Bila kusahau ahadi za Raisi, kafanya ziara jimboni wamemuomba nae ana ahidi kinachofanya hapo ni utekelezaji tu.
 
Kuna haja ya bunge kupanga bajeti?

Eti leo Kamati ya Bunge ya Kusimamia Mashirika ya Umma(PAC) imekuja na taarifa kuwa TANROADS wametumia zaidi ya shilingi bilion 600 bila ya idhini ya Bunge na kwamba taarifa ya TANROADS inatia mashaka (kuna uongo)

Binafsi najiuliza katika hili ni nini cha ajabu?

Je,taarifa za aina hii zimeshatolewa mara ngapi na Bunge hili limewahi kuchukua hatua gani kwa wanaofanya matumizi bila idhini ya Bunge?

Hata hili la TANROADS kutumia zaidi ya bilioni 600 bila idhini ya Bunge nalo litapita tu kama yalivyopita mengine.

Nimeyakumbuka maneno ya Prof.Asaad yaliyopekea akaitwa kujieleza mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka
ya Bunge.
Hapa ndio Jiwe alipokuwa anapigia kinyama !

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Eti leo Kamati ya Bunge ya Kusimamia Mashirika ya Umma(PAC) imekuja na taarifa kuwa TANROADS wametumia zaidi ya shilingi bilion 600 bila ya idhini ya Bunge na kwamba taarifa ya TANROADS inatia mashaka (kuna uongo)

Binafsi najiuliza katika hili ni nini cha ajabu?

Je,taarifa za aina hii zimeshatolewa mara ngapi na Bunge hili limewahi kuchukua hatua gani kwa wanaofanya matumizi bila idhini ya Bunge?

Hata hili la TANROADS kutumia zaidi ya bilioni 600 bila idhini ya Bunge nalo litapita tu kama yalivyopita mengine.

Nimeyakumbuka maneno ya Prof.Asaad yaliyopekea akaitwa kujieleza mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka
ya Bunge.
Wanatoa wapi hizo hela? Kama sio wamepewa na wizara.
 
Kama wametumia kujenga barabara na hizo barabara zinatumiwa na watanzania hamna ubaya wowote, gaidi Mbowe alikula billion 7 za michango ya wabunge na hakufanywa chochote.

Ninatamani ungepotezewa kwenye ndomu, ni aibu kuwa ni mbegu wewe uliwashinda wenzio mbio muhimu kuliko zote (sina hakika una upeo wa kuelewa nasema nini). Sawa, Mbowe alikula michango ya wabunge wenzio. Swala la msingi hapa ni “matumizi bila idhini ya Bunge”, sio sana walizifanyia nini.

Unajaribu kulinganisha swala la Mbowe na wabunge wa Chadema na mamlaka ya Bunge juu ya matumizi ya nchi?? Unasema kila taasisi ya serikali ifanye inachotaka kwa sababu tu Mbowe na wabunge wa Chadema wana swala la 7B. Hata kinyesi chako kichwani kinaona 600B = 7B????

You are a different kind of stupid!
 
Eti leo Kamati ya Bunge ya Kusimamia Mashirika ya Umma(PAC) imekuja na taarifa kuwa TANROADS wametumia zaidi ya shilingi bilion 600 bila ya idhini ya Bunge na kwamba taarifa ya TANROADS inatia mashaka (kuna uongo)

Binafsi najiuliza katika hili ni nini cha ajabu?

Je,taarifa za aina hii zimeshatolewa mara ngapi na Bunge hili limewahi kuchukua hatua gani kwa wanaofanya matumizi bila idhini ya Bunge?

Hata hili la TANROADS kutumia zaidi ya bilioni 600 bila idhini ya Bunge nalo litapita tu kama yalivyopita mengine.

Nimeyakumbuka maneno ya Prof.Asaad yaliyopekea akaitwa kujieleza mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge.
Mzalendo mfugale alikuwa anatafuna hela tu
 
Tuna Bunge la Mazuzu Mkuu na Serikali ya mazuzu matokeo yake ndiyo haya.

Back
Top Bottom