TANROADS jengeni mitaro kwenye barabara zenu

Masulupwete

JF-Expert Member
Feb 15, 2012
2,366
2,397
Hii ni barabara inayojengwa huko halmashauri ya kigamboni. Nadhani ni ya tanroads. Kwa sasa barabara inavutia kwa kuwa hakuna mvua.

Tatizo lililopo barabara haina mitaro. Hapo ikinyesha mvua moja ya maana kunakuwa hamna barabara tena hapo na pesa imetumika.

Ushauri wangu; iwe ni lazima kila barabara iwe na bajeti ya kujenga mitaro.
IMG_20190612_083924.jpeg
IMG_20190612_083730.jpeg
 
Ile barabara ya ferry mjimwema haina mitaro kwa sababu ipo karibu na bahari hivyo maji huwa yanaflow kwenda baharini kirahisi
 
Ile barabara ya ferry mjimwema haina mitaro kwa sababu ipo karibu na bahari hivyo maji huwa yanaflow kwenda baharini kirahisi
Inawezekana ni kweli ila bado nadhan ni muhimu waweke mitaro ili maji yasikatize na kuharibu barabara
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom