Tanroads at the center of our tabloids and wanasiasa cum mafisadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanroads at the center of our tabloids and wanasiasa cum mafisadi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Geza Ulole, Dec 23, 2009.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2009
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,056
  Likes Received: 3,980
  Trophy Points: 280
  Hivi jamani naomba tujiulize ni nini kinaendelea ndani ya TANROADS? Hivi ni shirika hilihili lililofanya kazi ya kusifika chini ya DR Magufuri leo hii linasuasua? Au kuna picha inachezeka hatuijui? Iweje leo hii tuskie mara board imetengua kufukuzwa kazi kwa so and so, mara Mbunge aropoke ati kiongozi wa TANROADS Mr Mrema hana sifa mara hili mara lile! Mara kimeshuka kimepanda!

  What's really the game behind the scene? Kwangu mimi i suspect Ze Mtandao people are behind this sabotaging and smear campaigns tactics that so far go with "character assasination move". To substantiate or give a clue of what current transpires; is a list of companies that arose immediately after Mr Wakubembea came to power! These Briefcase companies were intentionally created to loot from highly lucrative infrastructure booming business in Tanzania, we have to remember the road sector has a MCA dollars in pocket, apart from being allocated highest share in our budget behind education.

  To name a few of these companies is Caspian Construction company under MR Excellency RA, No secrecy that this MR Excellency leads with a number of tenders his comany undertakes and unsatisfied and funny enough he and his inner circle have come up with some other fake companies in partnership with foreign companies meant to bid for any tender wherever anounced! so as an order of the day, tendency here is a usually to have in each of 10 bidders, 8 from them (i.e. belonged to HE and inner circle) and only one is usually genuine and the rest positioned to loot if not carrying out a shody work if at all secured a deal!

  Sasa when these dudes were realized and their jugular cut a list of these image tarnishing motives emerge! Wadanganyika open your eyes Mr Mrema the guy who did a diligent work in the UK can never fail to carry out his duties! What we see now sounds of Wanamtandao making and soon we will realize their win after they have conquered the TanRoads offices!

  Unless if they prove to me and the rest of Wadanganyika the Road Sector will improve (no more delays that cost us millions currently ongoing) to the likes of DR Magufuri era! I see our Brothers Asians plus corrupted politicians at the board who some of them happened to be in the Parliament also going for Mrema blood, and they will do anything to threat his rule if not to remove him.

  This Wanamtandao's graft and bureacracy dont end there through Media they keep on connecting the dots to interlink all the evils to smash all the initiaves done by TanRoads! Today i read Mwananchi, a fisadis puppet tabloid that poses for "Heshima, Kuongoza and Kukubalika" (since lost status to be a newspaper) on whether Opinion section or Editorial (i.e. Maoni na Uchambuzi section) blaming TanRoads for not informing our MR President about the road reserve saga and his failing him to isolate his office from inaugrating a hotel at "the center and peak of controversy"!? To hell you Mwananchi, can you please attest that "Our Wakubembea" was unaware of what was going on to fall into one of many controversies that he likes to feature! Whose job was to advice MR Wakubembea? TanRoads or his many boot leaking aide who all they know is to rectify Ze Wana-Mtandao motives? If proven guilt who should bear the burden, the Presidential aide or TanRoads? and between the two groups, will they be ready to step down? We have a long way to go!

  Bravo TanRoads for a good work you carry out! Don't hesitate smash all those bureaucratic cum graft initiatives. And if you are fired then get fired with dignity since in Wakubembea era no diligent man can survive!  Date::12/22/2009
  Uongozi wa Mkoa wa Arusha umemkosea Rais[​IMG]JUZI Hoteli ya kisasa ya Snow Crest, ambayo ilizinduliwa na Rais Jakaya Kikwete mwishoni mwa wiki iliyopita mjini Arusha, ilibomolewa na watendaji waWakala wa Barabara Nchini (Tanroads) wa mkoa huo kwa madai kuwa ilijengwa katika eneo la akiba ya Barabara Kuu ya Moshi-Arusha.

  Hoteli hiyo ambayo ni ya kisasa na muhimu katika uchumi wa mkoa wa Arusha ambayo ilizinduliwa na Rais Kikwete, uzio wake, bustani na eneo la kuegesha magari vilibomolewa na kusababisha mawasiliano yote ya simu hotelini humo kukatika wakati wateja wakiwa ndani.

  Hatuna nia ya kumtetea mwenye hoteli kwa kukiuka taratibu za ujenzi, lakini jambo moja ambalo tunataka kuweka wazi ni kwamba watendaji wa Tanroads na uongozi wa mkoa wanapaswa kubeba lawama kwa kutochukua tahadhari kabla ya Rais kufungua hoteli hiyo.

  Tunasema wanapaswa kubeba lawama kwa sababu walitakiwa kumueleza Rais kwamba hiyo hoteli ina tatizo na kwamba walikuwa mbioni kwenda kuvunja uzio kuliko kitendo walichofanya kumdhalilisha kiongozi wetu wa nchi.

  Tunaamini kwamba kama watendaji wa serikali wangemwambia Rais kuna tatizo katika hiyo hoteli, asingweza kwenda kuifungua na badala yake angewaambia waliomwagiza wamalize tatizo hilo kwanza.

  Mfano mzuri ni pale alipowahi kukataa kukabidhi pikipiki zilizotolewa na mfanyabiashara mmoja wa Arusha kwa ajili ya shughuli za CCM kutokana na mtoaji huyo kuhusishwa na tuhuma za ufisadi.

  Rais alifanya hivyo baada ya kuambiwa na wasaidizi wake, sasa hili la wiki iliyopita labda uongozi wa mkoa utueleze kama walimwambia akawapuuza.

  Uamuzi huo wa Tanroads tunautilia wasiwasi kwani walipaswa kubomoa hilo eneo siku nyingi, lakini wakavizia hadi Rais afungue na ndio wao waanze kubomoa.

  Vilevile, tunaona kwamba kitendo cha kubomoa sehemu hizo muhimu za hoteli hiyo muda mfupi baada ya kuzinduliwa na kiongozi huyo wa nchi, kinaonyesha kwamba wasaidizi wake mkoani Arusha hawakufanya kazi yao ipasavyo, hivyo wanapaswa kuwajibika mara moja.

  Kwa upande wa Tanroads, lazima waelewe kwamba kazi yao si kusibiri kubomoa tu bali wanao uwezo wa kuzuia ujenzi kwa kushirikiana na mamlaka nyingine za mkoa na taifa.

  Mwisho tunalaani kitendo cha watendaji wa Tanroads kwenda kuvunja uzio wa hoteli alfajiri wakati wageni wa nje na ndani wakiwa wamejipumzisha.

  Wanapaswa waelewe kwamba katika wageni ambao waliokuwamo ndani kuna wengine wametoka katika nchi mbalimbali na wasingependa usumbufu wa aina hiyo. Viongozi wa Tanroads walipaswa kutaarifu uongozi wa hoteli ili wageni waweze kuandaliwa kuondoka eneo husika. Uamuzi waliofanya unaweza kuwafanya wageni hao kuichukia nchi na hata kutotembelea tena Arusha hivyo tukapoteza mapato.
  http://www.mwananchi.co.tz/newsrids.asp?id=16809
   
 2. M

  Mchili JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2009
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nae Mkulu anapenda mno sherehe sherehe. Pengine haikuwa kwenye ratiba ya ziara yake akakurupuka kwa short notice na Tanroad wakajua jamaa atatumia fursa hiyo kuwazuia kubomoa, wakafanya vitu vyao kabla hajajipanga.
   
Loading...