TANROAD yaacha kuajiri vijana rasmi kigezo cha kuajiriwa ni umri wa miaka 35-40

MP CHACHANDU

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
875
616
Shirika la serikali tanroad yaacha kuajiri vijana wenye umri chini ya miaka 35 -40 hivyo imepiga marufu vijana ambao hawana umri huo kuomba kazi yawataka wale wanaonzia miaka 35 -40 waombe kazi je ? Hii ndoo serikali ya wanyonge rais na watendaji wake wako wapi ? Hii serikali ya ovyo sana
 
Kwa hiyo unaunga mkono? Ujue wewe huwa upo kama makonda hujielewi

Mkuu nakuja tena amekupa tu muda na miaka ya mtu kuwa kijana.

Sasa kwa nini useme hajielewi mkuu. Una uhakika hajielewi kiongozi...?

Ni yeye hajielewi au pengine ni wewe labda ndio huelewi ukomo wa mtu kuwa kijana mkuu...?
 
Unaposema yaacha ni lini walikuwa wanaajiri umri chini ya 35 maana toka muda hicho kigezo cha miaka 35-40 kipo kwa hao jamaa.

Labda serikali hii ndio itusaidie waondoe hicho kigezo.

Back
Top Bottom