TANROAD/TANESCO Arusha Mji umejaa giza mnakwama wapi?

Kuna traffic lights za Sanawari huwa zikiharibika zinskaa zaidi ya mwezi ndipo zitengenezwe
Kwa maana hiyo hakuna anaehusika kwakuwa ni solar system?? Kwa maana nyingine wahusika ni makandarasi waliojenga barabara?

Mtoa mada kaweka wazi kuwa kama ni Tanesco basi wawajibike vivyo hivyo kama ni Wakala wa barabara Tanroad.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom