TANROAD NI SAFI KIASI GANI ?

certified mdokozi

JF-Expert Member
Jan 20, 2016
1,403
814
Nakupongeza mhe rais kwa kazi unayoenda nayo kutumbua the so called majipu naona umegusa karibuni kila sekta na shirika ambalo kinamna wajanja walikuwa wanapiga jasho letu sisi madereva maguta na watanzania wengine ambao kila siku wanaamka na kwenda kulijenga Taifa ila kuna hiz kelele kwamba pamoja na kuwa unatumbua majipu ila una aim ya kuondoa the system that was milking waliokutangulia sasa tunaomba twende na TANROAD ambayo ilikuwa chini yako ukajustify kuwa ww ni Mtumbuaji wa Tangu zaman hawa wanaotupigia kelele vijiwen wajenga nchi wenzako waufyate wanyamwez tunasema Funga kalomo
 
Back
Top Bottom